Comedian Kansime

Comedian Kansime

yuko vizuri sana huyu dada! na kenya huwa yupo yule jamaa anajiita teacher mpamire!

Sio hizi za steve nyerere mara sijui makonda alifanyeje! mara harmonize!....,aaaaarghhhhh
 
Lol.....bongo Katarina ndio kiboko....natamani cku nione Katarina na Kansiime jukwaa moja. Tutakufa kwa kucheka. Hawa wadada wapo talented haswaa
Katarina na Kansiime mbona wapo kwenye masafa tofauti? Kansiime kabobea kwenye kutumia kiingereza hawezi kuomba taa ziwashwe kwa kiswahili, na katarina vivyo hivyo hawezi comedy kwa kiingereza.
 
Katarina na Kansiime mbona wapo kwenye masafa tofauti? Kansiime kabobea kwenye kutumia kiingereza hawezi kuomba taa ziwashwe kwa kiswahili, na katarina vivyo hivyo hawezi comedy kwa kiingereza.
Nadhani jamaa anawafananisha kwenye kipaji.
 
yuko vizuri sana huyu dada! na kenya huwa yupo yule jamaa anajiita teacher mpamire!

Sio hizi za steve nyerere mara sijui makonda alifanyeje! mara harmonize!....,aaaaarghhhhh
Teacher mpa what? Mpamire ni Mganda pia sio Mkenya, sio mke what?
 
utumwa huo, kupenda unaanzia kwako kwanza
Kinapendwa kizuri, na ndio maana halisi ya ushindani. Kusifia kitu ni kizuri wakati kibovu wala haujengi ma si uzalendo ni unafiki. Wasanii wetu ndio inabidi wachukue changamoto toka kwingineko na wazikabili, kwani hao wasanii tunaowapenda nao si binadamu kama wao? Kwanini wasifanane nao kisanaa?
 
Angekuwa kama kaka yake jose camelion angepata mashabiki wengi sana bongo lakini hako ka lugha cha mtihani anakotumia si wengi tunaomwelewa
 
Kataraina ni copy and paste....

Zile funny memes zinazozagaa ndo anazigeuza clips...
 
Daaaaaaaah kansiime...mpaka mwenzangu kazin ananiita Gerald wa kansiime
 
Back
Top Bottom