comedian wa kimataifa na mtanzania, captain khalid ni nani?. tufahamishane.

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,746
ninapokuwa kwenye mitandao ya kijamii hasa hasa instagram, mara kadhaa huwa nakutana na picha au video fupi za comedian captain khalid anayefanya stand-up comedy katika majukwaa mbalimbali ya kimataifa nje ya nchi.

jambo linalonishangaza na kunifurahisha ni comedian huyo kujitambulisha kama mtanzania na hupenda sana kuitaja tanzania katika majukwaa anayo perform.

binafsi napenda kufahamu kuhusu historia ya comedian huyu. ni nani?.amepitia wapi mpaka kufika alipofika.

kwanini hapa nyumbani hatambuliki?. hata jina lake hukuti likitajwa na pages mbalimbali zinazohusu habari za mastaa.

yoyote mwenye taarifa sahihi kuhusu captain khalid atujuze.
IMG_20180408_102359.jpg
IMG_20180408_102436.jpg
e0964b9e40d104f1929a0ddb4bb222f8.jpg
IMG_20180408_102504.jpg
IMG_20180408_102300.jpg
IMG_20180408_102516.jpg
IMG_20180408_102644.jpg
IMG_20180408_102716.jpg
IMG_20180408_102738.jpg
IMG_20180408_102755.jpg
IMG_20180408_102822.jpg
IMG_20180408_102857.jpg
IMG_20180408_102948.jpg
 
Naonaa baada ya kujitangazaa ulayaa sasaa unaamua kujitangazaa na nyumban sasaa ,ongeraa Mkuu kazi nzurii
 
Tanzania inahazina ya watu wenye vipaji mbalimbali lakini vimejichimbia ughaibuni. Kinachokatisha tamaa ni nchi yao kutowapa sapoti ya aina yeyote kama vile si raia wa Tz
 
na jamaa anaonekana kuwa na fan base kubwa sana huko ughaibuni kuliko nyumbani.
 
Tanzania’s Khalid brings the funny to Kigali stage

This will be the first time that Khalid performs his I Think I Am Single world tour in East Africa.

IN SUMMARY from The East African.

This will be the first time Khalid performs his I Think I Am Single world tour in East Africa.As a rising stand up comedian, Khalid says the main challenges have been getting funding for his shows in terms of production expenses and travel costs. I Think I am Single highlights the comedian’s experiences while travelling around the world and the people he has met.

Comedian Khalid Hussein is set to perform in Kigali next month as part of his world tour titled I Think I Am Single. The German-based comedian will be the main act at the One Love show.

Khalid has gained a steady following in recent years, following a series of successful shows such as Renew My Visa and his world tour with The Funny Fellas — a renowned international Comedy group.

This will be the first time Khalid performs his I Think I Am Single world tour in East Africa. The show will also feature Okello Okello from Uganda, Burundi’s Divin and Babu from Rwanda.

Khalid has taken his I Think I am Single show around Europe, South East Asia, India and most recently Japan.

This year, the comedian has toured Tokyo, South Korea, Taipei, Taiwan, India, Turkey. He hopes to end his European tour in Eidenhoven and Amsterdam in Holland, Luxemburg and Hamburg and Frankfurt in Germany.

After his East African tour, the 21-year old will travel to Singapore to perform to wrap up the year.

“Touring for the show has been overwhelming but I have also learnt so much about other cultures and seeing the world. I am blessed to perform all over the world,” he said.

The comic hopes to kick off the new year with a show in Australia in January, then America and Canada in March, before resuming his Africa tour in July and August.

Stand Up Comedy

Khalid ventured into Stand Up Comedy in 2011. At the time he was pursuing his university studies in Malaysia.

Itriedtogetparttimejobsbutitwasn’teasybecauseIwasaforeigner,” he said.

His cousin Kent convinced him to go into comedy because of his great sense of humour. Khalid approached the university’s administration and convinced them to host a comedy show.

As a rising stand up comedian, Khalid says the main challenges have been getting funding for his shows in terms of production expenses and travel costs.

“I am thankful for the support I’ve received from Rwanda’s Comedy Knights,” he said.

Khalid and Rwandan comic, Arthur Nkusi, met at the East African Comedy Night in Nairobi, Kenya.

He also met the Comedy Knights at the same venue and they invited him to perform at the Com Factory last year. The Com Factory is a weekly stand up comedy event that is also aired on Rwanda Television.

During his European tours, Khalid shared a stage with Michael Sengazi — a Rwandan comic from the Comedy Knights.

I Think I am Singlehighlights the comedian’s experiences while travelling around the world and the people he has met.

He also looks at social issues, especially those of an African interacting with different cultures.
 
Tanzania’s Khalid brings the funny to Kigali stage

This will be the first time that Khalid performs his I Think I Am Single world tour in East Africa.

IN SUMMARY from The East African.

This will be the first time Khalid performs his I Think I Am Single world tour in East Africa.As a rising stand up comedian, Khalid says the main challenges have been getting funding for his shows in terms of production expenses and travel costs.I Think I am Singlehighlights the comedian’s experiences while travelling around the world and the people he has met.

Advertisement

Comedian Khalid Hussein is set to perform in Kigali next month as part of his world tour titled I Think I Am Single. The German-based comedian will be the main act at the One Love show.

Khalid has gained a steady following in recent years, following a series of successful shows such as Renew My Visa and his world tour with The Funny Fellas — a renowned international Comedy group.

This will be the first time Khalid performs his I Think I Am Single world tour in East Africa. The show will also feature Okello Okello from Uganda, Burundi’s Divin and Babu from Rwanda.

Khalid has taken his I Think I am Single show around Europe, South East Asia, India and most recently Japan.

This year, the comedian has toured Tokyo, South Korea, Taipei, Taiwan, India, Turkey. He hopes to end his European tour in Eidenhoven and Amsterdam in Holland, Luxemburg and Hamburg and Frankfurt in Germany.

After his East African tour, the 21-year old will travel to Singapore to perform to wrap up the year.

“Touring for the show has been overwhelming but I have also learnt so much about other cultures and seeing the world. I am blessed to perform all over the world,” he said.

The comic hopes to kick off the new year with a show in Australia in January, then America and Canada in March, before resuming his Africa tour in July and August.

Stand Up Comedy

Khalid ventured into Stand Up Comedy in 2011. At the time he was pursuing his university studies in Malaysia.

“I tried to get part time jobs but it wasn’t easy because I was a foreigner,” he said.

His cousin Kent convinced him to go into comedy because of his great sense of humour. Khalid approached the university’s administration and convinced them to host a comedy show.

As a rising stand up comedian, Khalid says the main challenges have been getting funding for his shows in terms of production expenses and travel costs.

“I am thankful for the support I’ve received from Rwanda’s Comedy Knights,” he said.

Khalid and Rwandan comic, Arthur Nkusi, met at the East African Comedy Night in Nairobi, Kenya.

He also met the Comedy Knights at the same venue and they invited him to perform at the Com Factory last year. The Com Factory is a weekly stand up comedy event that is also aired on Rwanda Television.

During his European tours, Khalid shared a stage with Michael Sengazi — a Rwandan comic from the Comedy Knights.

I Think I am Singlehighlights the comedian’s experiences while travelling around the world and the people he has met.

He also looks at social issues, especially those of an African interacting with different cultures.
[emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Ngoja namfatilia Eti hapa anatambulika Idriss Sultan na Pilipili

labda kidogo mc pilipili ila huyo Idriss ukomedi wake bado sijauona kwa kweli.

mashabiki wa idris mniwie radhi.
 
acha utani ndg.
Ni mtanzania Mhaya from Kagera, kasoma Kazaliwa na kukulia bukoba mjini kasoma kuanzia chekechea mpaka form 4 Bukoba mjini, akiwa sekondari alikuwa akijihusisha na kuimba hakuwa comedian japo alikuwa anawavunja wenzake mbavu darasani kwa vituko vyake.
Form 5-6 kasoma hapa hapa dar hapo nadhani ndipo alipogundua mziki siyo rahisi kutoboa kwakuwa alikuwa akidhani akibahatika kufika dar atatoboa.
Chuo kasoma Malysia huko ndipo nadhani alipata connection za kuendelea na uchekeshaji wake
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
ninapokuwa kwenye mitandao ya kijamii hasa hasa instagram, mara kadhaa huwa nakutana na picha au video fupi za comedian captain khalid anayefanya stand-up comedy katika majukwaa mbalimbali ya kimataifa nje ya nchi.

jambo linalonishangaza na kunifurahisha ni comedian huyo kujitambulisha kama mtanzania na hupenda sana kuitaja tanzania katika majukwaa anayo perform.

binafsi napenda kufahamu kuhusu historia ya comedian huyu. ni nani?.amepitia wapi mpaka kufika alipofika.

kwanini hapa nyumbani hatambuliki?. hata jina lake hukuti likitajwa na pages mbalimbali zinazohusu habari za mastaa.

yoyote mwenye taarifa sahihi kuhusu captain khalid atujuze.
View attachment 737951View attachment 737952View attachment 737953View attachment 737954View attachment 737955View attachment 737956View attachment 737957View attachment 737958View attachment 737959View attachment 737960View attachment 737961View attachment 737962View attachment 737963
 
Kwani alishawahi kuleta vyeti vya kuzaliwa mpaka atambuliwe.

hakika wewe ni "greatsinker". asante kwa jibu lako mdau. [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
We umeona flag ya tz na germany imeshindwa kujiongeza kuwa anaishi ujerumani ila ni mtz kwa asili
 
Back
Top Bottom