Comedians ni nani aliowadanganya kuwa kuchekesha ni kuzungumzia Ngono

Comedians ni nani aliowadanganya kuwa kuchekesha ni kuzungumzia Ngono

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Ama kweli Bongo hakuna wachekeshaji, na kama wapo basi ni wachache sana.

Leo Mjanja M1 nimepitia baadhi ya kurasa za wachekeshaji wa Bongo na nimegundua kuwa wengi wanaojiita comedians hawana vipaji vya uchekeshaji.

Ukiangalia kila anaejiita comedian Tanzania Maudhui yake mengi yameegemea ngono na kuwatumia wanawake wenye makalio makubwa kwenye contents zao kiasi kwamba Ngono ndio Content zao . Kwanini hawajifunzi kwa nchi zilizoendelea au kuingia Darasani kusomea fani wanazozifanya kimagendo.?

Imefikia hatua kwamba mtu hauwezi kuangalia vichekesho vya wabongo ukiwa na mtu unaemuheshimu.

BADILIKENI NYIE WACHEKESHAJI UCHWARA.
 
Na kwanini ucheke cheke ukiwa na mtu unaemheshimu?

Halafu unacheka cheka nini wakati nchi inapitia hali ngumu ya kiuchumi na kisiasa?
 
Back
Top Bottom