Comedians wabongo kuna namna wanaenda kufanikiwa, waendelee kuwekeza

Comedians wabongo kuna namna wanaenda kufanikiwa, waendelee kuwekeza

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Mimi si shabiki wa awa wachekeshaji wa kizazi cha sasa ambao wanatumia zaidi social media kufikisha sanaa yao. Ila nimekuwa navutiwa na juhudi zao kujaribu kusukuma kazi zao zifike kwa watu.

Inawezekana kwenye ubora bado wanajitafuta lakini wanaonesha juhudi za hali ya juu. Siku zote kwenye maisha hakuna juhudi inayoenda bure usipofanikiwa leo kuna siku juhudi zako zitakubeba, kama ilivyokuwa kwa wasanii wa bongofleva walivyopambana kusukuma muziki wao.

Nawapa hongera sana na wengi naona mna ushirikiano. Na vipaji kwa baadhi vipo vinakosa investment tu.
 
Mitandao pia inawasaidia sana.

HAWAHITAJI TV KUONEKANA KAMA ZAMANII.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Honestly wanajitahidi sana kuifanyia kazi industry yao, na sisi kama walaji hatuna budi kuwaunga mkono.
 
Back
Top Bottom