Comedy mkome matusi kwenye tbc;kueni wakubwa

Comedy mkome matusi kwenye tbc;kueni wakubwa

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Wapendwa
kwa walioangalia comedy iliopita ni mahuzuniko makubwa sikuamini lijemaa kubwa kama mpoki aanaweza kusema matusi kwenye luninga ya jamii kama ile inahuzunisha sana ilikuwaje
walifika sehemu jamaa akamuuliza jamaa yake ati ALIEKUWA RAIS WA SOUTH ANAIITWA NANI THABOMBEKI na akizaa mtoto akamwita SITO ataitwaje SITOMBEKI

shame kubwa ya ajabu mtu mzima kama huyu kutoa matusi sehemu kama hii ikiwa inaangaliwa na watoto wadogo naomba tbc mumfindishe tabia hawa watu tunaomba tena na tena
 
SAMSONI HAPO UMENENA ...ILA NA WEWE POST ZAKO NYINGI ZIMEKAA MLENGO HUO HUO.....! wote mjirekebishe...!
 
Kichwamaji ndo maana.wenzetu wakwenda school hata kama ni commedians sisi tunafanyia mazoea na kujuana.
 
Hao washapoteza mwelekeo hawana jipya. ndo maana wana-act hovyohovyo tu mradi mkono uende kinywani.
 
Mfulila Samson:

Jina halina uhusiano na tusi - Tusi ni neno linalokuwa "perceived" kama Tusi - Neno haliwezi kuwa Tusi

Baba_Enock "mshenzi sana" - linaweza kuwa "Tusi" au "Sifa"

Asha ni "kifaa" - Tusi au Si Tusi?

Jamii at large inapenda ku-incline kwenye "negative perception" all the time! Including you this time:

SITO Mbeki - does not imply any "tusi" whatsoever!
 
Huna kazi ya kufanya hadi unaangalia original komedi?
 
kwani ze comedy ile ya EATV haijaanza, maana sijaangalia TV jioni zaidi ya miezi sita.
 
Niliipata hii nikiwa na family tunasikiliza nikabaki mdomo wazi tuuu. Naona sasa mwisho wao unafika
 
mpoki vichekesho vyake siku zote ni vya kulazimisha yeye ndio mbovu kuliko wote pale anabebwa tu!nilitegenea uchafu ule kutoka kwake.
 
Wapendwa
kwa walioangalia comedy iliopita ni mahuzuniko makubwa sikuamini lijemaa kubwa kama mpoki aanaweza kusema matusi kwenye luninga ya jamii kama ile inahuzunisha sana ilikuwaje
walifika sehemu jamaa akamuuliza jamaa yake ati ALIEKUWA RAIS WA SOUTH ANAIITWA NANI THABOMBEKI na akizaa mtoto akamwita SITO ataitwaje SITOMBEKI

shame kubwa ya ajabu mtu mzima kama huyu kutoa matusi sehemu kama hii ikiwa inaangaliwa na watoto wadogo naomba tbc mumfindishe tabia hawa watu tunaomba tena na tena

mkuu hapo mbona na wewe unatukan asasa ujue hata hapa JF kuna watoto?eh mods watakushughurikia kaka eti hu**mbeki
 
Back
Top Bottom