Coment herufi Tatu za mwisho za Jina la mpenzi wako

Coment herufi Tatu za mwisho za Jina la mpenzi wako

Kumbe wewe ni mchawi kabisa, nilidhani mchawi wa JF ni kaka yangu Mshana Jr kumbe mko wengi.
Nimekuogopa aisee uwiiiiii
Umepatia kabisa kabisa jamani.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Aiseeeeeeee ila usiniogope mrembo nisije nikakosa mpaka Tamu ya kuichakata.
 
Coment Herufi Tatu(3) za mwisho za Jina la mpenzi wako,
Alafu mwingine Aje kumalizia kuandika Jina kwa herufi zingine zilizobaki ili tuone kama atapatia.

Mfano.

Uma=Mwajuma.



Cc Zero IQ
Hizo herufi tatu ndo jina lake kamili, sa' si nitakuwa nimemwaga mchele kwenye kuku wengi [emoji7][emoji6]
 
Back
Top Bottom