Comfort Zone imedumaza Akili za Wana CCM Hawana Ubunifu Kabisa
GT
Niwapongeze Chadema kwa energy na ubunifu mkubwa.mara zote comfort.zote hudumaza ubongo ndicho kinachowapata CCM.
Hawafikiri kabisa nje ya box. NRNE walipaswa waione mapema kabisa na kujipanga.sasa naona wanakuja na tunatick sijui nani kawaamusha mchana huu aha π π wakti NRNE inakaribia kumaliza mwaka.
Kwa sasa huko CCM hawatumii ubongo kabisa ndo maaana wanatumia nguvu nyingi sana kupambana na Chadema mara zote mwenye akili haumizi kichwa kun'gamua mambo.
Chadema ina mungu tupige moyo konde mateso yakizidi jua neema imekaribia kama ipo na ipo tu hakuna wa kuizuia
Amen