Sasa hapo sii ni sehemu ya mahaba jamani mkiwa mnakoga pamoja. Wee shauri yako utaachika mapema
Sasa wewe unadhani kwanini hawafanyi hayo??
He was not good in Tower Heist. I liked Murphy in Coming to America and Trading Places.Eddie Murphy ni Legend pia nilimfaidi ktk Tower Heist na Ben Stiller hahaaa.... If you have never seen the movie tower Heist please do....Eddie doesn't let his people down
Nmeitafta hii movie leo baada ya kusoma huu uzi,, sijajutia kabisa matumiz ya mb zang n bonge la movie...anaejua movie nzur km hz anisaidie majina plzzz
Sii wanadhani ni mambo ya kidhungu
Ndiyo kama ambavyo wanaume wa kibongo mnaona kuwajali wanawake ni mambo ya kizungu na hamtaki kuyafanya kwahiyo msilalamike
Basi hata ninyi mkitugegeda ndiyo tayari tunakuwa tumeshawajaliKuwagegeda ndio kuwajali kwenyewe...wee unataka mwanaume akujali kivipi
Basi hata ninyi mkitugegeda ndiyo tayari tunakuwa tumeshawajali
Ngoja nianze zitafta hzoTafuta movies za Black Americans
mara nyingi nazo zipo vizuri tu
Mfano:
John Q - Denzel Washington
Daddy's little girls - Idris Elba
duh zipo nyingi sana
Basi sasa hizo mbwembwe nyingine achaneni nazo kabisa cha muhimu papuchi tuNi kweli usemalo ...mwanamke akishakupa papuchi ndio kashakujali ma hamna raha duniani kama kupewa papuchi
Hilo ndio la maanaaBasi sasa hizo mbwembwe nyingine achaneni nazo kabisa cha muhimu papuchi tu
Hilo ndio la maanaa
Hiyo Samwel Jackson kuvamia hotel na kua outsmarted ulikua mpango wa eddy kudraw attention ya Lisa,pia kwa Samwel Jackon hii Coming to America ndio ilikua movie yake ya kwanza kuonekana6. Ulinzi
Mwanaume usimame kama mume hata ktk kipindi kigumu
usiwe muoga
Eddie anajizolea points baada ya hotel kuvamiwa na Samwel Jackson then akasimama kama mwanaume kuonesha uanaume maana yake nini
binti akaona huyu huyu
7. simamia unachokiamini
coz hata Wapambe- wanaweza kukuharibia badala ya kukusaidia kutimiza azma yako
Eddie mpambe wake anaomba hela kuwa wanaishi kwa shida
hela zinafika anafanya renovation ya chumba chao
kitu ambacho Eddie anahisi kitaonesha uwezo walionao kifedha
hadi anaomba Landlord awabadilishie room nyingine
8. wengi wanatamani waolewe japo hata Kama umri umewatupa mkono
Lisa na kuvishwa pete kwenye train yule bibi anatoa ushauri but mwisho wa siku anasema kama amekataa nivishe mimi
Hahahah anaomba pete japo sijui kama alikuwa serious