Coming to America ni wangapi mnaikumbuka

Coming to America ni wangapi mnaikumbuka

Is the best Movie by Dr Murphy ever...i have watched it a thousand times..Nilikariri karibia movie yote...
 
Eddie Murphy ni Legend pia nilimfaidi ktk Tower Heist na Ben Stiller hahaaa.... If you have never seen the movie tower Heist please do....Eddie doesn't let his people down
 
Eddie Murphy ni Legend pia nilimfaidi ktk Tower Heist na Ben Stiller hahaaa.... If you have never seen the movie tower Heist please do....Eddie doesn't let his people down
He was not good in Tower Heist. I liked Murphy in Coming to America and Trading Places.
 
Nmeitafta hii movie leo baada ya kusoma huu uzi,, sijajutia kabisa matumiz ya mb zang n bonge la movie...anaejua movie nzur km hz anisaidie majina plzzz

Tafuta movies za Black Americans
mara nyingi nazo zipo vizuri tu
Mfano:

John Q - Denzel Washington
Daddy's little girls - Idris Elba

duh zipo nyingi sana
 
Ndiyo kama ambavyo wanaume wa kibongo mnaona kuwajali wanawake ni mambo ya kizungu na hamtaki kuyafanya kwahiyo msilalamike
Sii wanadhani ni mambo ya kidhungu
 
Ndiyo kama ambavyo wanaume wa kibongo mnaona kuwajali wanawake ni mambo ya kizungu na hamtaki kuyafanya kwahiyo msilalamike

Kuwagegeda ndio kuwajali kwenyewe...wee unataka mwanaume akujali kivipi
 
Dah enzi hizo mwaka 1998 ndo namcheki mtu mzima eddy murphy kitambo ssna
 
6. Ulinzi
Mwanaume usimame kama mume hata ktk kipindi kigumu
usiwe muoga
Eddie anajizolea points baada ya hotel kuvamiwa na Samwel Jackson then akasimama kama mwanaume kuonesha uanaume maana yake nini
binti akaona huyu huyu

7. simamia unachokiamini
coz hata Wapambe- wanaweza kukuharibia badala ya kukusaidia kutimiza azma yako
Eddie mpambe wake anaomba hela kuwa wanaishi kwa shida
hela zinafika anafanya renovation ya chumba chao
kitu ambacho Eddie anahisi kitaonesha uwezo walionao kifedha
hadi anaomba Landlord awabadilishie room nyingine

8. wengi wanatamani waolewe japo hata Kama umri umewatupa mkono
Lisa na kuvishwa pete kwenye train yule bibi anatoa ushauri but mwisho wa siku anasema kama amekataa nivishe mimi
Hahahah anaomba pete japo sijui kama alikuwa serious
Hiyo Samwel Jackson kuvamia hotel na kua outsmarted ulikua mpango wa eddy kudraw attention ya Lisa,pia kwa Samwel Jackon hii Coming to America ndio ilikua movie yake ya kwanza kuonekana
 
Back
Top Bottom