Coming to America ni wangapi mnaikumbuka

Coming to America ni wangapi mnaikumbuka

Ndiyo hayo mambo ya "your penis is clean" achaneni nayo kabisa yaani yasahauni kabisa
Sasa utasahau vipi wakati hago ndio mambo muhimu katika kugegedana...au wee unataka mnagika tuu mnavuana chupi na kurukiana kama punda
 
Sasa utasahau vipi wakati hago ndio mambo muhimu katika kugegedana...au wee unataka mnagika tuu mnavuana chupi na kurukiana kama punda
Sasa mbona unabadili muelekeo tena si umesema cha muhimu papuchi tu sasa hayo mengine tena ya nini? Hoja ni kwamba mwanaume anayemjali mwanamke wake ndiye anayestahili kufanyiwa hayo yote na mwanamke wake wengine endeleeni kujifanya mna mfumo dume si hamtaki uzungu sasa basi acheni na wanawake nao waukatae huo uzungu!
 
Nakumbuka kile kipande cha
Good morning neighours .
https://jamii.app/JFUserGuide
https://jamii.app/JFUserGuide you too
 
Nakumbuka kipande cha basketball lisa akiwa na mchumba wake na hakim akiwa na mdogo wake lisa!

Mdogo wake lisa alikuwa na viuchokozi sana!!

Mpaka akasababisha hakim kushangilia kwa nguvu wakati mechi ilikuwa ni mapumziko!!

Kila mtu akabaki anashangaa!!!
 
Back
Top Bottom