sasa ukifa tena itakuwaje?dying to see it...!
wewe unatoa lini babuNaomba niweke booking ya nakala moja mkuu!!
Babu DC!!
umekuwa mama ushauri shosti?kitakuwa kinauzwa bei gani nianze kufanya saving?
Safi sana mmm kitolee hapo kijijini kwako kitokee na mazingira ya kijiji itakuwa rahisi kufatilia hatua kwa hatua.
umekuwa mama ushauri shosti?
lakini wachina wapo creative sana wanaweza kukitoa wakakiwekea na ac .hahah sasa smile umeona huyo babu kauliza sijui nikitolee china ..watamtolea kitabu feki..page ya kwanza kiswahili ya pili kichina..
Lakini akitoa kijijina atachanganya kiswahili na lugha ya kwao kidogo..
Nambie weekend yako ilikuwa powah?
lakini wachina wapo creative sana wanaweza kukitoa wakakiwekea na ac .
Mzee mi nataka kuandika Biography yangu je utanisaidiaje?
mwanakijiji sio wa hivo mkuuKina Page Ngapi! Kisije kuwa kama vya mitaani page Ishirini Hadithi imeisha.
But Hongera kwa Cover. Lipo Poa
Kitakuwa kinauzwa Bei gani nianze kufanya saving?
Safi sana MMM kitolee hapo kijijini kwako kitokee na mazingira ya kijiji itakuwa rahisi kufatilia hatua kwa hatua.
mimi naomba niwe marketing manager wa zone hii ya jfhatujui kwa sasa; baada ya kukamilisha mambo fulani fulani tutapata idea kidogo ya bei yake..
..Mmhh wewe nae..mimi naomba niwe marketing manager wa zone hii ya jf
hutakii?..Mmhh wewe nae..