Coming very soon....'majeruhi wa mapenzi'...

Coming very soon....'majeruhi wa mapenzi'...

Kitakuwa kinauzwa Bei gani nianze kufanya saving?
Safi sana MMM kitolee hapo kijijini kwako kitokee na mazingira ya kijiji itakuwa rahisi kufatilia hatua kwa hatua.
 
umekuwa mama ushauri shosti?

hahah sasa Smile umeona huyo babu kauliza Sijui nikitolee China ..watamtolea Kitabu feki..page ya kwanza kiswahili ya pili Kichina..
Lakini akitoa kijijina atachanganya Kiswahili na Lugha ya kwao kidogo..
Nambie weekend yako ilikuwa Powah?
 
hahah sasa smile umeona huyo babu kauliza sijui nikitolee china ..watamtolea kitabu feki..page ya kwanza kiswahili ya pili kichina..
Lakini akitoa kijijina atachanganya kiswahili na lugha ya kwao kidogo..
Nambie weekend yako ilikuwa powah?
lakini wachina wapo creative sana wanaweza kukitoa wakakiwekea na ac .
 
Mzee mi nataka kuandika Biography yangu je utanisaidiaje?
 
Kina Page Ngapi! Kisije kuwa kama vya mitaani page Ishirini Hadithi imeisha.

But Hongera kwa Cover. Lipo Poa
 
Narudia kauli yangu,sipo teyari kusoma kitabu cha kuazima,tangaza fungu ili nitenge kabisa bajeti ya kitabu iki.
 
Kitakuwa kinauzwa Bei gani nianze kufanya saving?
Safi sana MMM kitolee hapo kijijini kwako kitokee na mazingira ya kijiji itakuwa rahisi kufatilia hatua kwa hatua.

hatujui kwa sasa; baada ya kukamilisha mambo fulani fulani tutapata idea kidogo ya bei yake..
 
Heshima Mzee wangu Mwanakijiji!
Kikiwa tayari fanya mpango kiwe kinapatikana kwenye mitandao kama vile Amazon na kwengineko ili wanaokihitaji walipo ulimwenguni popote waweze kukinunua.

Hongera sana Mkuu!
 
Hongera sana MM, nakuaminia sana kazi zako MM, utujuze kikiwa tayari na kitapatikana wapi? Hicho lazima nikitafute
 
Back
Top Bottom