Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
-
- #61
Cover yake tu yataka utake kujua what is inside.
Well, going into production... mambo yakikaa vizuri in a month or so kitakuwa mitaani...
View attachment 51793
Nina uhakika kuwa cover itakuwa na mabadiliko kidogo tu...
hahahah Asha, lakini cover ya mwisho itakuwa tofauti kidogo; the same background I believe na mabadiliko kidogo kwenye maandishi; tunasubiri wachapishaji watupe majibu...
Nimependa title ya kitabu. lazima kitanihusu
Euphrase Kezilahabi!
"Nagona" na "Gamba la Nyoka"
baada ya kuvidandia vitabu hivi sehemu huwezi amini navitafuta toka mwaka juzi hadi pozi limeniisha hapa!
Huyu mtu yupo makini zaidi ya sana,
Poti wangu plz haya ni mavi ya tembo, nakutakia heri wala siku-underestimate.
Kama unaahidi kazi ya viwango hvyo basi ombwe langu la kupata riwaya za wazalendo utalijaza!