Coming very soon....'majeruhi wa mapenzi'...

Cover yake tu yataka utake kujua what is inside.

hahahah Asha, lakini cover ya mwisho itakuwa tofauti kidogo; the same background I believe na mabadiliko kidogo kwenye maandishi; tunasubiri wachapishaji watupe majibu...
 
Mbona yaonekana ipo perfect? Hio ya mwisho I like the way hao wapo entwined in a shadow ya cirle you can assume kua ni mwezi...lol. Siwezi bisha kuhusu maandishi for waandhishi mna mtindo wa kukazia for final touches.... I hope haitabadilika sana.

Naomba niwe mmoja wa early buyers wa the book...
 
Euphrase Kezilahabi!

"Nagona" na "Gamba la Nyoka"
baada ya kuvidandia vitabu hivi sehemu huwezi amini navitafuta toka mwaka juzi hadi pozi limeniisha hapa!
Huyu mtu yupo makini zaidi ya sana,

Poti wangu plz haya ni mavi ya tembo, nakutakia heri wala siku-underestimate.
Kama unaahidi kazi ya viwango hvyo basi ombwe langu la kupata riwaya za wazalendo utalijaza!
 
nina hamu ya kuokoa usomi wa vitabu Tanzania...
 
Back
Top Bottom