loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,887
- 6,657
Mwamba huyo mmarekani mweusi ni miongoni wa makomandoo maalum wa secret service.
Unaambiwa alivyoingia tu ukumbini baada ya ufyatuliaji wa risasi yeye na timu yake walitumia mbinu za medani na kumdhibiti jambazi hilo.
Bado nafuatilia jina lake na maelezo mengi kumhusu. Ila kwa ufupi tu niliyosikia ni kwamba mwamba ana shabaha ya haatarii.
Anaweza kulenga shabaha huku akikimbia kwa nyuma akielekeza bunduki yake juu chini begani bila kukosa.
Tunamshukuru huyu mweusi mwenzetu kwa kutuwakilisha vema wamatumbi na kuokoa uhai wa Donald Trump.
adriz de mbusii