Mwamba huyo mmarekani mweusi ni miongoni wa makomandoo maalum wa secret service.
Unaambiwa alivyo8ngia tu ukumbini baada ya ufyatuliaji wa risasi yeye na timu yake walitumia mbinu za medani na kumdhibiti jambazi hilo.
Bado nafuatilia jina lake na maelezo mengi kumhusu. Ila kwa ufupi tu niliyosikia ni kwamba mwamba ana shabaha ya haatarii.
Anaweza kulenga shabaha huku akikimbia kwa nyuma akielekeza bunduki yake juu chini begani bila kukosa.
View attachment 3579734
Tunamshukuru huyu mweusi mwenzetu kwa kutuwakilisha vema wamatumbi na kuokoa uhai wa Donald Trump.
View attachment 3579736
adriz de mbusii