Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Kiaharage
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji28][emoji28]Mambo yako ya wafu kama ushawahi kwenda vile [emoji23][emoji23]
Singida hii sio?1.Baadhi ya Mitaa...
Majengo, misuna, Utemini, Karakana, Mwenge, Kibaoni, sabasaba.
1.Shule kongwe.
Chief senge, Dk Salmin Amour.
3.Mabwawa..
Kindai, ..... hili lingine limebeba jina la mkoa.
Kumbe tupo wengi mkuuKuna mkoa wa kuzaliwa na asili yako...
Mi nimezaliwa mkoa A wazazi wote wawili wametoka mkoaB sa sijua niandike A au B
MloganzilaUzi maalum kwa ajili ya wana JF wacomment mkoa ambao wamezaliwa.
Unaweza kuwa umezaliwa mkoa mmoja na Member wengi humu sasa huu ndo mda muafaka.
Naanza MImi
Hujakosea.Singida hii sio?
Lindi sokoine,rahaleo,wailesi,mpilipili,kariakoo,mtanda,likotwa...au wilayani kilwa,liwale...[emoji2]
Runzewe ndio mkoa, Chato ni makao makuu ya mkoa
Mkoa wa Moshi mkuuNdo mkoa upi mkuu
Runzewe ndio mkoa, Chato ni makao makuu ya mkoa