Comment Mwaka ulioanza na kuhitimu Elimu ya Msingi

haha hahaha nyie Punga mnanipa raha sana
 
Comment Mwaka ulioanza na kumaliza shule ya msingi
Tuone ni wangap wanaofaa kupewa shikamoo,mambo na habari yko

me nimeanza 2004 kuhitmu 2009

N.B Heshima ni kwa wotee
Mhhh nani ataamini kwamba we wa juzi juzi we jikubaliage tu shkamoo mzee baba
 
Comment Mwaka ulioanza na kumaliza shule ya msingi
Tuone ni wangap wanaofaa kupewa shikamoo,mambo na habari yko

me nimeanza 2004 kuhitmu 2009

N.B Heshima ni kwa wotee
Je MEMkwa TuNAruHISIWA kUTUMAPIA?
 
Dah...tuliosoma lower...middle na upper primary school huu Uzi hautuhusu....[emoji13] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…