Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Mtego wako raha sana. Ili u collect information za watu.Comment Mwaka ulioanza na kumaliza shule ya msingi
Tuone ni wangap wanaofaa kupewa shikamoo,mambo na habari yko
me nimeanza 2004 kuhitmu 2009
N.B Heshima ni kwa wotee
Mtego wa kukusanya information huu. wasiojulikana ndio hawaIli ugundue nini kwa mfano
Nakazia mkuuMtego wa kukusanya information huu. wasiojulikana ndio hawa
SAWA, Inawezekana huyo kakosea, ILA MKUMBUKE KUNA WALIOKUWA WANARUSHWA MADARASA...2004 - 1
2005 - 2
2006 - 3
2007 - 4
2008 - 5
2009 - 6
Vipi hapo Mzee... Ni madarasa mangapi? Miaka mingapi?
Haya bhana Mr Mathematician
Ni nini umefanya?Nakazia mkuu
Nini tena mkuuNi nini umefanya?
2002 - 2008Comment Mwaka ulioanza na kumaliza shule ya msingi
Tuone ni wangap wanaofaa kupewa shikamoo,mambo na habari yko
me nimeanza 2004 kuhitmu 2009
N.B Heshima ni kwa wotee
HONGERA... naona ulisoma miaka Sita tu shule ya msingi; ulirushwa darasa!Comment Mwaka ulioanza na kumaliza shule ya msingi
Tuone ni wangap wanaofaa kupewa shikamoo,mambo na habari yko
me nimeanza 2004 kuhitmu 2009
N.B Heshima ni kwa wotee