Comment Mwaka ulioanza na kuhitimu Elimu ya Msingi

Comment Mwaka ulioanza na kuhitimu Elimu ya Msingi

Comment Mwaka ulioanza na kumaliza shule ya msingi
Tuone ni wangap wanaofaa kupewa shikamoo,mambo na habari yko

me nimeanza 2004 kuhitmu 2009

N.B Heshima ni kwa wotee
Mtego wako raha sana. Ili u collect information za watu.
Binafsi ni muhitim lakin information kama hizisiwezi kukupa.
 
Msiojulikana mmejipanga kweli kweli na vinjia vyenu vya uongk na kweli
 
Comment Mwaka ulioanza na kumaliza shule ya msingi
Tuone ni wangap wanaofaa kupewa shikamoo,mambo na habari yko

me nimeanza 2004 kuhitmu 2009

N.B Heshima ni kwa wotee
HONGERA... naona ulisoma miaka Sita tu shule ya msingi; ulirushwa darasa!
 
Back
Top Bottom