Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhh nani ataamini kwamba we wa juzi juzi we jikubaliage tu shkamoo mzee babaComment Mwaka ulioanza na kumaliza shule ya msingi
Tuone ni wangap wanaofaa kupewa shikamoo,mambo na habari yko
me nimeanza 2004 kuhitmu 2009
N.B Heshima ni kwa wotee
Kwahiyo wewe umesoma madarasa sita pekee!?Comment Mwaka ulioanza na kumaliza shule ya msingi
Tuone ni wangap wanaofaa kupewa shikamoo,mambo na habari yko
me nimeanza 2004 kuhitmu 2009
N.B Heshima ni kwa wotee
[emoji23][emoji23] ulivyouliza sasaIli iweje
Je MEMkwa TuNAruHISIWA kUTUMAPIA?Comment Mwaka ulioanza na kumaliza shule ya msingi
Tuone ni wangap wanaofaa kupewa shikamoo,mambo na habari yko
me nimeanza 2004 kuhitmu 2009
N.B Heshima ni kwa wotee
Akaa mi sitoagi shkamoo kwa nisiye mfahamumarahaba mpenda heshima wng
Kuna watakaouliza ndio nini hizoDah...tuliosoma lower...middle na upper primary school huu Uzi hautuhusu....[emoji13] [emoji13]
Dah... Watajichanganya na baby...middle na pre unit ....[emoji23] [emoji15] [emoji23] [emoji23]Kuna watakaouliza ndio nini hizo