micaely michael
Member
- Jul 31, 2015
- 85
- 9
Kama kutoa ni moyo jua kwamba kujumlisha ni figo.!!!!
@ebu toa kali zaidi ya hii.
@ebu toa kali zaidi ya hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi sina cha kuandik
Kaa ukijua vyombo vya habari havioshwi.
We mwongo,Kimbunga kinakata upepo zaidi ya feni.Upepo hata uwe mkali vipi hauwezi kukata kiuno.
Pumba made in pumbakistanHata uwe na vurugu vipi wakati wa kujisaidi lazima utulie
Kimbunga kinazunguka hakikati kiuno. Mkuu najua unajua tofauti ya kuzunguka na kukata kiuno.We mwongo,Kimbunga kinakata upepo zaidi ya feni.