Comment tucheke!

Comment tucheke!

Chapakazi Utembelee Gari mjini Usichapemapenzi Utatembelea Vtuo Vya Afya.

Wasanii Wetu Wote wa Bongo Flavour Wana 'VVU' ..(Vina Vikali Usipime) Kama Vipi Bisha
 
sio kila ndoa huanza na "will you marry me?" zingine huanza na "nina mimba yako" .

kama mapenzi ni pesa basi funga ndoa na benki.
 
Hata uwe bishoo au sista duh wa hatari namna gani chooni Ni pa wote ila tofauti namna ya kujikamua huo mzigo
 
Back
Top Bottom