Na kuzidisha ni kalioKama kutoa ni moyo jua kwamba kujumlisha ni figo.!!!!
@ebu toa kali zaidi ya hii.
Rudia kusoma comment yake tadhari.We mwongo,Kimbunga kinakata upepo zaidi ya feni.
Tah teh tih toh tuh uuuu!!Hata uwe na vurugu vipi wakati wa kujisaidi lazima utulie
Mkuu, Unanimaliza Mbavu Zangu !!Ukiona choo ndotoni ujue ni mtego usikitumie