Comment tucheke!

Comment tucheke!

Kama pesa hazioteshwi mtini, kwa nini mabenki yana matawi.
 
Acha waisome namba eeeeh!
CCM mbele kwa mbele!
 
Ujinga ni kusmile wakati unapiga x ray ili ikitoka itoke unatabasamu
 
Unaota kuendesha Hummer akati umelala njaa na kusoma hujasoma!
 
Yangu hii hapa nimeitoa kwenye boda yangu
1452376753320.jpg
 
Back
Top Bottom