Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye kipindi hiki cha Corona, Mungu ndiyo amedhihirisha kabisa kuwa Matabibu ( ma-Daktari na wengineo) pamoja na ma-Askari ni watumishi wa Mungu perce kama walivyo Masheikh, Mapadre, Maaskofu, Wachungaji. Tofauti tu ni kwamba hao wa awali vituo vyao vya kazi haviko kwenye Mahekalu, Makanisa au Misikiti
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Kwenye kipindi hiki cha Corona, Mungu ndiyo amedhihirisha kabisa kuwa Matabibu ( ma-Daktari na wengineo) pamoja na ma-Askari ni watumishi wa Mungu perce kama walivyo Masheikh, Mapadre, Maaskofu, Wachungaji. Tofauti tu ni kwamba hao wa awali vituo vyao vya kazi haviko kwenye Mahekalu, Makanisa au Misikiti
Uliza akuue na vizinga