Comment za wadau baada ya JADA PINKETT SMITH kupost picha

Mangungo II

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
18,133
Reaction score
26,766
Wabongo nuksi sana

Wamevamia page ya jada na mibendera yao hahahahaj

Mwingine kampa Jada ubuyu eti amchunge dhidi ya wadangaji hahahah!!!
 
Hizo hapo
Screenshot_20190829-185515.jpeg
Screenshot_20190829-185533.jpeg
Screenshot_20190829-185549.jpeg
Screenshot_20190829-185611.jpeg
Screenshot_20190829-185632.jpeg
Screenshot_20190829-185702.jpeg
 
Wabongo nuksi sana

Wamevamia page ya jada na mibendera yao hahahahaj

Mwingine kampa Jada ubuyu eti amchunge dhidi ya wadangaji hahahah!!!
sasa cha ajabu nini hapo? kama Gate,Obama,Clinton,Bush,Abramovic,Brazil,Kanye,Jigga,50,Rossey,Fat,Shaggy,Beyonce,na wahuni kibao wa Us wameshawahi kutua bongo who is Jadda?
 
nimemkumbuka Jada katika movie ya Set it off akiwa na Queen Latifah,, bonge moja ya movie Asee,,
 
Wakenya hawajataka kupitwa kwenye comments
 
sasa cha ajabu nini hapo? kama Gate,Obama,Clinton,Bush,Abramovic,Brazil,Kanye,Jigga,50,Rossey,Fat,Shaggy,Beyonce,na wahuni kibao wa Us wameshawahi kutua bongo who is Jadda?
Umesahau na mastar wa Philippines wanakujaga Serengeti na Kilimanjaro kimyakimya
 
Afu kwa sie wzee kuzamia meli kuiita mbuga yetu street imekaaje?
 
Back
Top Bottom