Commentary Kuhusu Video ya Tundu Lissu Inayosambazwa

Well said

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My friend t
My friend all these are simply an attack to Lisu and CHADEMA,our President Maguli's ambitions to this country is not clear and no one know where do started, where we are now and where we are going? We need our president to follow what is our constitutional. Lisu address a clear message to all Tanzanian with all the truth and IKULU failed to his message from msemaji wa serikali to responding to what Lisu address.Kwa maneno mengine madai ya Lisu ni ukweli mtupu na wameshindwa kuyajibu kwa hiyo tunaomba yafanyiwe kazi kwa maslahi ya Nchi.
Kumtetea raisi au kumficha pale anapoonekana kafanya vibaya ni makosa makubwa maana utakuwa hajasaidia taifa na hujamsaidia.Tutaka kumsaidia raisi ili taifa liwe salama
Tuache kumsifia raisi kwa sifa ambazo hazipo,hata kama amefanya vizuri ni wajibu wake kufanya kazi maana aliomba na akifanya sivyo inabidi kumwambia ukweli
 

It seem your forgetting something, he has a mandate to lead this nation for five years. He has a right to take advise from any one or NO one, just the same as you. I'm sure hata Chadema if we were in power, they would've behave the same if not worse from the "scrambled eggs leadership" they've demonstrate so far.
 
All in all Lissu kiboko keshamwaga upupu watu lazma wajikune!
 
Mawazo ya upinzani ni just changamoto kwa yule anaefanya kitu Fulani na wala sio kuwa amekiondoa kwani mtekelezaji ni wewe ulie na nyezo. Sioni kwani ni umchukulie hatua au uptake asiwepo karibu yako kabisa hats asiongee.Just chukua kile akisemacho,kifanyie Kazi Kama kinakufaa,hakikufai potezea. Nae ni sehemu ya jamii unayoingoza kwani ulikubali awepo. Umekubali imani tofauti katika familia yako,kwani ni uwachukie wanafamilia walioenda mrengo tofauti na wako?. Ila naona Nagu na yeye kakamatwa. Bado natafakari hilo napia naomba tafakari yenu pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo kati mana siendexhwi na fikra za mtu naamin katika mm cna mpango wa kuchangia hoja

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nimekueleza serikali haijibu vichaa. Ilichofanya jana ni kutoa taadhari kwa hatua zinazoweza kuchukuliwa kwa ranting behaviours na vichaa. Soma tena statement ya serikali. Haikujiingiza kwenye hizo narratives za kichaa. Na ndio maana, kwa kutoelewa kwako, na pengine baadhi ya wenzako, mliishia kulalamika kuwa serikali haijajibu. Mnatakiwa kuwa na uwezo wa kutafsiri statements nyeti za serikali.
 
Nimekueleza serikali haijibu vichaa. Ilichofanya jana ni kutoa taadhari kwa hatua zinazoweza kuchukuliwa kwa ranting behaviours na vichaa. Soma tena statement ya serikali. Haikujiingiza kwenye hizo narratives za kichaa. Na ndio maana, kwa kutoelewa kwako, na pengine baadhi ya wenzako, mliishia kulalamika kuwa serikali haijajibu. Mnatakiwa kuwa na uwezo wa kutafsiri statements nyeti za serikali.
 
First class crap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna lolote unalialia nini ?? Kama huijui unaandika ya nini ??

Ninyi hamna tofauti na wale wanaosoma mpka PhD kwa kutumia English halafu hawaijui sasa sijui walikuwa wana kariri dah ni shida
Hio lugha inatusaidia kupata maarifa ila sio lazima tujue kuizungumza...tatizo vijana wa ufipa mnayo matatizo makubwa vichwani mwenu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui na hasara na hatari ya Chama Kimoja inaelekea hukuishi wakati huo!
Chinese economic foundations were laid under one political party, there is no scientific proof that for a Nation to develop there must be a multiparty system
 
Chinese economic foundations were laid under one political party, there is no scientific proof that for a Nation to develop there must be a multiparty system

Judgement always done through majority against minority or by percentage

Over the world discuss the percentage of one party democracy to be successful against multiparty countries.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…