Commentary Kuhusu Video ya Tundu Lissu Inayosambazwa

I never see any logic on ur article.you around a bush and that I the problem only people who have narrow mind will hide weakness of somebody by his achievement.lisu split out with evidence how the man destruct our nation on matter of tribalism,a utilitarian.u still protect him with ur illogical argument.
 
Kweli tupu
 
Reactions: BAK
Kwanza lazima uwe na heshima na kiongozi wako maana rais si mtu ni kioo cha Wa tanzania. Ukilija hilo unajenga hoja zako. Ulimsikia zito hata kafulila wao wamekomaa kisiasa au jinsi mbowe na Lowassa wanavyomshambulia JPM kiutu uzima. TL bado hajakomaa ndiyo maana huwa kuna msemaji wa chama mwenye kujua jinsi ya kuongea. Hivi unajua udikteta au unacheza. Kwa vile JPM alimshinda katika makinikia basi kila siku huyu kijana TL ni kumponda. Nikuulize unga ukiwa robo unakaa mbali? TL anajua maana ya PST? Sioni kosa la JPM kudhibiti hazina na kumuweka anayeweza kumkunja usisahau unga robo be realistic my frinds
 
Njaa inakusumbua sana wewe ndiyo sababu hujitambui na wakati mwingine kuandika humu ili kujipendekeza kwa divkteta uchwara. Unafiki na undumilakuwili KAMWE havitakusaidia.

 
Hahahhaha haikujibu wakati ilikanusha vikali kuwa kuna ukandamizaji wa demokrasia na wakaenda mbali kwa kutaja vifungu vya katiba vinavyoharamisha tamko la lisu???? sasa huko sio kujibu ama ulitaka tamko liseme TUNAMJIBU LISU KMA IFUATAVYO????

Mlishamjibu ila mlimjibu kwa hoja dhaifu sana kma mnabisha muandae mdahalo kupitia twaweza yenu ile iwekwe mada juu ya demokrasia afu mchangiaji awe lisu na ccm mumlete hta huyo magu au polepole muone kma hamjakimbia ukumbi!!!!!

Kwa ufupi nyie hamumwezi lisu hivyo ni heri muwe mnaacha hoja zake zipite tu maana sio lazima kujibu kila kitu kma hukielewi eti mnajibu baada ya kuona majibu mepesi sana mnaanza kujitia moyo eti sisi ndio hatujaelewa hahahahahha mnatia sana huruma ccm
 
Magufuli kamshinda lisu kwenye makinikia??? Kumbe kulikuwa na competition?? Kumbe sakata limeisha na tumelipwa trilion 100 alizodai tumeibiwa na Acacia??? Kumbe kina kafumu na chenge wameshakamatwa kma ripoti ilivyotaka??? Asee kumbe ilikuwa competition sikujua !! Hivi ukishauri jambo jema afu ushauri wako ukapuuzwa basi ndio umeshindwa ?? yaani ukimshauri mjamzito aende clinic akakataa basi siku akizaa salama wwe uliyemshauri umekuwa defeated????

Unasema magufuli sio dikteta hivi dikteta ni mtu au vitendo na viashiria??? Mikutano ipo kisheria kma inavyosema sheria ya vyama vya siasa as ammended 2007 sehem ya pili nzima inaongelea haki za vyama vya siasa je magufuli kuzuia mikutano hii at an invididual capacity sio udikteta?? Pangua hyo hoja ya lisu ndio useme magufuli sio dikteta otherwise ni ngonjera tu

Kuhusu uwasilishaji wa lisu kweli nakuunga mkono 200% ur right!!! Huwa anawasilisha kwa jazba sana na kwa lugha ya kuudhi ila sometimes kuna uvumilivu unazidi kiwango hivi mnategemea kwa kumpeleka selo kila cku na kumpiga virungu awajibu kwa kutumia lugha ipi??? Yaani aongee kipole kma lowasa wakati kila cku mnamburuza polisi kwa kesi za kuunga unga???sometimes simlaumu kwa kuwa short tempered maana ccm ndio mmemfanya awe hivo

Ni hayo tu
 
Tundu Lissu ameweka hoja zake mezani, amesema lililoko moyoni mwake, kwa hiyo kama una hoja tofauti, ni busara kuzijibu hoja zilizowekwa mezani, moja baada ya nyingine, badala ya kutoka nje ya mstari, kwa aidha au kumshambulia binafsi mleta mada au kumtetea alayelalamikiwa. Tundu Lissu anatusaidia kuisukuma serikali iwe inaendesha mambo yake na wa haki na kuzingatia utawala bora na wa sheria. Tunawahita akina Tundu Lissu wengi ili watusemee, maana tilio wengi hakuna M,
 
1.Which courts of law hasnt lissu gone to?? Mnyika went to the East African court to file a case against magufuli for the authoritarian type of regime also mbowe went to the constitutional court to challenge the political rallies ban so do u think anythin has changed since???

2. Dont divert my opinion its like this..... lisu said magufuli is tribalistic but as for ur case u objected is idea by saying he is not tribalistic because they are only few lake zoners amongst the 500,000-strong civil servants hence my post was against ur idea that in tribalism numbers count thus i raised a motion that in tribalism the influence of the tribe counts not the number of the tribemate making ur motion of saying that thr are few lakezoners in the government VAGUE and inelligible to answer lisu's argument

3.media yes it will help because at least if the entire nation is enlightened about the govt dictatorship is better since thr will be a mass action of the entire population to rally behind opposition and demand for democracy to be respected!!!! However going to court has been done before a numerous times as i have given an example and neither the former case or the latter has brought any change to the democracy in the country

Its still BLAH BLAH brother...... wake up and join forces against the dictatorship
 
Keju: Frankly speaking, what I have observed from your weakest arguments is that you are blind in arenas of both academic and professionally with regards to national and internal ideology and reality about democracy and more specifically democratic state. Your are weak too in the concept of leadership. Above all, you have personal interest (and not national interest) with the guy (vampire) whom you are advocating for. Based on your writings, I advise you to read widely the rules (grammar) of English before you opt to write in it. Otherwise opt for another language you are conversant with. It is shame to, publicly, opting the language you are not familiar with.

Go further and get time to search for what do the following mean?
1. Democracy
2. Rule of Law
3. Constitution
4. Leadership
5. Multiparty system
6. Human Rights
7. Constitutional rights
 
Juzi hapa amewaita watu pale Dodoma kuwa wana vyeti feki na ni wezi kama majizi mengine tu. akaamuru watangazwe kwa kuandikwa kwenye magazeti na vyombo vingine vya habari. Lakini imekuja kuonekana watu zaidi ya 400 walionewa kabisa. Hawa wanasafishwaje mbele ya jamii? Huo ndio uongozi anaoupenda huyu mleta mada? Kwa nini wasingefanya uchunguzi wa kina kwanza ili kutomwonea na kumdhalilisha mtu?Kiingereza chenyewe ni CCM (duni) tupu. Tuliambiwa na utafiti wa Twaweza kwamba CCM inapendwa na wenye elimu hafifu, nimeamini.
 
 
obviously gone to abyss, you.
 
this answer suit him, I appreciate umeongea point tupu natamani hii iwe thread inayojitegemea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlizowea vya kunyonga kumbee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kuwakomesha mkuu.. nondo tupu vichwa panzi wanaelewa sana ila wanajitoa fahamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
keju asante sana kwa mchango wako kumpinga kibaraka lissu. anaropoka uongo na uzushi halafu kumbe muoga kukamatwa utadhani kunguru mweusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…