Comments Nzuri namna ya kusave kwenye PDF

Comments Nzuri namna ya kusave kwenye PDF

Enny

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
962
Reaction score
130
Hamjambo wana JF. Kuna comment nzuri juu ya kufanya biashara ningependa ku-save kwenye PDF na Ku-print. Naomba msaada kwa wataalamu.
 
Download Open Office Org. Unaweza ku convert document kwenda pdf na ni bure.
Asante nashukuru. Nikisha download then nafanyaje ili ni copy comments za humu?
 
Pia naomba kuuliza kama nataka kudownload all posts in a particular thread as one document nafanyaje badala ya kwenda page to page???
 
Asante nashukuru. Nikisha download then nafanyaje ili ni copy comments za humu?

Select na copy hizo comments halafu fungua OpenOffice org text document halafu paste. Juu kwenye Open Office org Writer utauna kitufe cha PDF, bonyeza hicho, document yako itabadilika kuwa pdf.
 
Tafuta adobe acrobat 9 Pro (hapo kwenye jukwaa la JF store ipo) ukiwa na hiyo unaconvert from word to pdf haraka sana.
 
Select na copy hizo comments halafu fungua OpenOffice org text document halafu paste. Juu kwenye Open Office org Writer utauna kitufe cha PDF, bonyeza hicho, document yako itabadilika kuwa pdf.
Nimejaribu ku-download hiyo program imekataa.
 
Back
Top Bottom