sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,704
- 9,932
Zilikuwa siku tatu zenye kuwapa faraja makamanda kuwa kampeni yao sasa inaeleweka baada ya dada wa taifa kulamba deal la kuieneza kampeni yao ya no reform no election.
Kiukweli mitandaoni kuliwaka moto kila akaunti ya mtu mashuhuli ilivamiwa na comments, kama unavyojua watanzania wanaweza kukupa attention online ukafikiri umeshatoboa.
Ghafla bin vuu comments za no reform no election zimeyeyuka. Na utaratibu wa ku-unfollow watu maarufu ukaota mbawa.
Maisha yetu ya kupenda furaha, amani na utulivu yameendelea tushasaau kama dada wa taifa alitoa miezi mitano ya mapambano.
Mjadala wetu ni timu pendwa na Diamond Platnumz ndani ya UK ndio umeibeba online community na vijiwe vya kahawa.
Nachowakubali watanzania ukitaka uwapoteze waingilie mambo yao yenye manufaa kama burudani na shughuli za kutafuta pesa.
Kwa hali hii kuna mtu wa kuzuia uchaguzi? 😅
Mbona bado ipo?..ila wanawake sijui tupoje..tunapenda attention mno😏
No Reforms No Election ni Sindano ya Moto....Dawa imeingia hiyo!
Hujui NR no NE ndo habari ya mjiniZilikuwa siku tatu zenye kuwapa faraja makamanda kuwa kampeni yao sasa inaeleweka baada ya dada wa taifa kulamba deal la kuieneza kampeni yao ya no reform no election.
Kiukweli mitandaoni kuliwaka moto kila akaunti ya mtu mashuhuli ilivamiwa na comments, kama unavyojua watanzania wanaweza kukupa attention online ukafikiri umeshatoboa.
Ghafla bin vuu comments za no reform no election zimeyeyuka. Na utaratibu wa ku-unfollow watu maarufu ukaota mbawa.
Maisha yetu ya kupenda furaha, amani na utulivu yameendelea tushasaau kama dada wa taifa alitoa miezi mitano ya mapambano.
Mjadala wetu ni timu pendwa na Diamond Platnumz ndani ya UK ndio umeibeba online community na vijiwe vya kahawa.
Nachowakubali watanzania ukitaka uwapoteze waingilie mambo yao yenye manufaa kama burudani na shughuli za kutafuta pesa.
Kwa hali hii kuna mtu wa kuzuia uchaguzi? 😅
Kumbe zinafutwa ila mwanzo zilikuwa hazifutwiZimeyeyuka au mnazihide na kuzifuta kwenye post zenu?
no reforms, no election!Zilikuwa siku tatu zenye kuwapa faraja makamanda kuwa kampeni yao sasa inaeleweka baada ya dada wa taifa kulamba deal la kuieneza kampeni yao ya no reform no election.
Kiukweli mitandaoni kuliwaka moto kila akaunti ya mtu mashuhuli ilivamiwa na comments, kama unavyojua watanzania wanaweza kukupa attention online ukafikiri umeshatoboa.
Ghafla bin vuu comments za no reform no election zimeyeyuka. Na utaratibu wa ku-unfollow watu maarufu ukaota mbawa.
Maisha yetu ya kupenda furaha, amani na utulivu yameendelea tushasaau kama dada wa taifa alitoa miezi mitano ya mapambano.
Mjadala wetu ni timu pendwa na Diamond Platnumz ndani ya UK ndio umeibeba online community na vijiwe vya kahawa.
Nachowakubali watanzania ukitaka uwapoteze waingilie mambo yao yenye manufaa kama burudani na shughuli za kutafuta pesa.
Kwa hali hii kuna mtu wa kuzuia uchaguzi? 😅
Mtu yupo Marekani mwingine yupo Kenya alafu wanasema wabongo acheni uoga ila wao hawathubutu kukanyaga bongo.Ni kampeni ya mtandaoni ya watu wa mtandaoni ,walioiabzisha wengi wao wanakula bata ulaya , mtandao unakuja na news nyingi kila baada ya sekunde , mara simba na yanga , mara diamond , mara mtu katumbuliwa , mara ndege imeanguka , mara iran na israel wanazichapa … yaani ni heka heka, kampeni imejikuta inakufa kibudu
Tatizo uwa mnajipa sana umuhimu kuliko uhalisia ndio maana mnaangukia puaNo reform no election sio kampeini Ila ni Ajenda ya kitaifa ya kuhakikisha kila kura inahesabika na kuheshimiwa baada kufanya maboresho ya sheria za uchaguzi.
Hutaki kura za wananchi ziheshimiwe.Zilikuwa siku tatu zenye kuwapa faraja makamanda kuwa kampeni yao sasa inaeleweka baada ya dada wa taifa kulamba deal la kuieneza kampeni yao ya no reform no election.