Kwa kuongeza tu.In every general rule there is an exception. Kuna Akata ambao wapo smart..
But a large number of them are dumb..siwalaumu sana cause wamekuwa conditioned kuwa hivyo..
They don't like competition.Wananchonikera hao jamaa kila kitu kwao wanakichukulia ni ubaguzi yaani 'race card' kwao ni first line of defence.
Najiuliza hivi mbon Africans hawana hizo au wanugu wameathirika kisaikolojia...
Wamarekani weusi
The US in not monolithic, there are parts where white people cannot go.The US was not designed for black people. They are a persona non Grata
nipo kaka mkubwa, tunaweka social distance kila eneo kimtindo....ππππ Kaka mkubwa upo? Umepotea Sana Kiongozi.