Comments za wanugu kwenye social media accounts za celebrity wao

Comments za wanugu kwenye social media accounts za celebrity wao

Wananchonikera hao jamaa kila kitu kwao wanakichukulia ni ubaguzi yaani 'race card' kwao ni first line of defence.
Najiuliza hivi mbon Africans hawana hizo au wanugu wameathirika kisaikolojia...
They don't like competition.

Competition is only for those who think
 
Black people are not monolithic.

Na Marekani hata Donald Trump ana play the race card.Hata watu weupe wana play the race card wakisema wanaonewa.
The US was not designed for black people. They are a persona non Grata
 
The US in not monolithic, there are parts where white people cannot go.

Usikariri.
I understand that bro but what am trying to say is that, in the US black people are a surplus.
 
Back
Top Bottom