COMMERCIAL AREA, LOCATION AT BUGURUNI MATAA,PRICE Tsh 6billion-negotiable

COMMERCIAL AREA, LOCATION AT BUGURUNI MATAA,PRICE Tsh 6billion-negotiable

Joined
Apr 10, 2025
Posts
40
Reaction score
44
Commercial Plot inauzwa Buguruni Mataa

Location Eneo linatazama Mataa ya Buguruni

-Eneo lina fremu za Biashara

-Eneo lina Barabara mbili moja kushoto ingine kulia ya kuelekea Vingunguti.

Eneo linafaa Jengo la Biashara/Ofisi, Gas Station, Hardware n.k.

-Plot size Sqmtrs 3,548

-Document; Leseni za Makazi

Bei shilingi Bilioni 4 maongezi yapo

🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
IMG-20250418-WA0253.jpg
 
Heading inasema shilingi bilioni 6 content inasema bilioni 4

Eneo zuri, kubwa
 
Commercial Plot inauzwa Buguruni Mataa

Location
Eneo linatazama Mataa ya Buguruni

-Eneo lina fremu za Biashara

-Eneo lina Barabara mbili moja kushoto ingine kulia ya kuelekea Vingunguti.

Eneo linafaa Jengo la Biashara/Ofisi, Gas Station, Hardware n.k.

-Plot size Sqmtrs 3,548

-Document; Leseni za Makazi

Bei shilingi Bilioni 4 maongezi yapo

🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717View attachment 3309059
Kwenye heading unasema Bil 6, kwenye content inasomeka Bil 4, kwamba hizo Bil 2 ndo za udalali?
 
Kwenye heading unasema Bil 6, kwenye content inasomeka Bil 4, kwamba hizo Bil 2 ndo za udalali?
Ndio boss, unataka dalali akale wapi?
Ila huyu dalali Fala sana yaani anataka hela ya kufanya maisha yote yaliyobaki hapa duniani aipatie sehemu moja tu.
 
Kwahiyo hivyo vijumba vyote ni vya mtu moja au ni watu tofauti? Sasa si bora mtu aende akawanunue mmoja mmoja badala ya kupitia kwako?
 
Madalali wahuni sana, lakini ni sehemu ya biashara pia.

Yaani hapo wamewaingiza chaka hao wakazi kwa kukusanya kila mmoja bei ya nyumba na kuwadanganya kuna tajiri anataka kununua kumbe wao wanataka kutafuta mteja maana wamejiongeza na kuona hiyo ni prime location.

Zote ni harakati tu za kupata hela.
 
Commercial Plot inauzwa Buguruni Mataa

Location
Eneo linatazama Mataa ya Buguruni

-Eneo lina fremu za Biashara

-Eneo lina Barabara mbili moja kushoto ingine kulia ya kuelekea Vingunguti.

Eneo linafaa Jengo la Biashara/Ofisi, Gas Station, Hardware n.k.

-Plot size Sqmtrs 3,548

-Document; Leseni za Makazi

Bei shilingi Bilioni 4 maongezi yapo

🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717View attachment 3309059
1sqm =1.7M
 
Back
Top Bottom