Dalali wa kimataifa
Member
- Apr 10, 2025
- 40
- 44
Tp huyo itakua... Anafikiri bilioni ni tako la kushoto, ye ni kuedit tu...Heading inasema shilingi bilioni 6 content inasema bilioni 4
Eneo zuri, kubwa
Kwenye heading unasema Bil 6, kwenye content inasomeka Bil 4, kwamba hizo Bil 2 ndo za udalali?Commercial Plot inauzwa Buguruni Mataa
Location Eneo linatazama Mataa ya Buguruni
-Eneo lina fremu za Biashara
-Eneo lina Barabara mbili moja kushoto ingine kulia ya kuelekea Vingunguti.
Eneo linafaa Jengo la Biashara/Ofisi, Gas Station, Hardware n.k.
-Plot size Sqmtrs 3,548
-Document; Leseni za Makazi
Bei shilingi Bilioni 4 maongezi yapo
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717View attachment 3309059
Ndio boss, unataka dalali akale wapi?Kwenye heading unasema Bil 6, kwenye content inasomeka Bil 4, kwamba hizo Bil 2 ndo za udalali?
1sqm =1.7MCommercial Plot inauzwa Buguruni Mataa