MOREMI2006
JF-Expert Member
- Sep 10, 2021
- 551
- 548
Uwakala mkuu wa Airtel vigezo vyake ni vipi Ili kuupata?Wa airtel ni simple sana...na vigezo vyao virahisi tofauti na tigo na voda.
Wasiliana na kiongozi alie karibu yako
Nenda Airtel branch iliyokaribu nawe watakupa details zote au piga namba 100 upate details....kwa kifupi Hawa jamaa ukiwa na mtaji wa 2Ml uhakika upo wa kupewa ofisiniUwakala mkuu wa Airtel vigezo vyake ni vipi Ili kuupata?
1.yupo mfanyakazi au mwenyewe????❓1.yupo mfanyakazi au mwenyewe????
2.uza sigara na vocha.
3.uza pipi na biscuit
4. Weka Crdb na nmb wakala
5.tafuta ata uwakala mkuu wa airtel money au tigo pesa.
6. Uza ata alcohol kama iman inaruhusu
7.uza ata vimaji maji na soda.
8. Chajisha simu na bet.
9.uza makava ya simu,,,bet,,,charger,,,headphone
10.soda na vimaji.
*hivyo n vitu vya kuongezea kwenye biashara yako ili kukuza kipato.
1.yupo mfanyakazi au mwenyewe????
2.uza sigara na vocha.
3.uza pipi na biscuit
4. Weka Crdb na nmb wakala
5.tafuta ata uwakala mkuu wa airtel money au tigo pesa.
6. Uza ata alcohol kama iman inaruhusu
7.uza ata vimaji maji na soda.
8. Chajisha simu na bet.
9.uza makava ya simu,,,bet,,,charger,,,headphone
10.soda na vimaji.
*hivyo n vitu vya kuongezea kwenye biashara yako ili kukuza kipato.
Nashukuru sana kiongoziNenda Airtel branch iliyokaribu nawe watakupa details zote au piga namba 100 upate details....kwa kifupi Hawa jamaa ukiwa na mtaji wa 2Ml uhakika upo wa kupewa ofisini
Korogwe tanga?Niko Korogwe Mkuu
Kuna ukweli fulani kwa mbali japo bado sina uhakikaKama kweli unasaka pesa kweli kweli , Hyo biashara hamna , labda kama we ni mstaafu unakula pension mdogo mdogo huku ukipoteza mda kwenye huo uwakala
Huu ndio ukwelimkubwa wasachi hao vijana wanaoisimamia hiyo biashara yako huenda wanazungusha pesa yako kwenye till zao
Naomba mawazo yako ndugu yangu1.yupo mfanyakazi au mwenyewe????[emoji780]
2.uza sigara na vocha.[emoji777]
3.uza pipi na biscuit[emoji777]
4. Weka Crdb na nmb wakala[emoji3581][emoji817]
5.tafuta ata uwakala mkuu wa airtel money au tigo pesa.[emoji777]
6. Uza ata alcohol kama iman inaruhusu[emoji777]
7.uza ata vimaji maji na soda.[emoji777]
8. Chajisha simu na bet.[emoji777]
9.uza makava ya simu,,,bet,,,charger,,,headphone[emoji777]
10.soda na vimaji.[emoji777]
Naam kuna huo umafia wa vijana wa kazi kuzungusha hela ya boss kwenye line zao, dah hapa ndio kanakujaga kale kawazo ka CHUMA ULETEmkubwa wasachi hao vijana wanaoisimamia hiyo biashara yako huenda wanazungusha pesa yako kwenye till zao
Uwakala mkuu kuupata ni shughuli pevuNaomba mawazo yako ndugu yangu
Mkuu wapi hiyoooMkuu, mm pia nimefanya lkn faida unayoipata Ni faida yangu ya mwezi nikiwa na mtaji wa 1M. Biashara yako inamaanisha yafuatayo.
1. Umeweka hela nyingi kwenye mzunguko mdogo.
2. Mfanyakazi wako hajitumi Sana.. akija mteja akikosa imeisha.
Ningekuwa mm ningefanya yafuatayo;
1. Either ningepunguza mtaji na kuwa na branch nyingine inayojiongeza
2. Ningehangaika na wafanyakazi wangu kupambana nao ili wawe wachakalikaji.. kuwasimamia vizuri na kuwapa motisha... Ukweli hii biashara nzuri na Ina faida lkn tagizo Ni Wizi.
Mwez was pili nimeibiwa mtaji wote akiwepo mfanyakazi na hivo nimepumzika kidogo lkn nitarudi hata nikiwa na laki 3
Naomba muongozo nataka kuanza hii biashara ya i wakalaHyo ni net profit tuambie gross profit unapata sh ngapi?....ila sio mbaya kwa huo mtaji wako kumbuka malipo yanatokana na mzunguko wa cash in na out katka laini zako.
Kuongeza commission.
1. Ongeza laini/machine za uwakala /uwakala mkuu.
2. Ongeza mtaji wa biashara yako angalau 10ml
3.punguza matumizi ya sio lazima.
Hii 200,k mimi napata kwenye lain yangu moja.
Uko wapihofu pia ni kufanya biashara ambayo haitawapa upenyo watu kujua mzunguko wangu ili nisijekupigwa tukio.
Uwakala mkuu nawezaje kuupata maana kila nikiuliza nakatishwa tamaa
Kama una nia nitafute upate line ya uwakala mkuu(ya kununua)...ule maisha..ingawa inahitaji uwe na mtaji mzuri especially kwa mji kama korogweNiko Korogwe Mkuu