Commission ya biashara ya wakala

Commission ya biashara ya wakala

1.yupo mfanyakazi au mwenyewe????
2.uza sigara na vocha.
3.uza pipi na biscuit
4. Weka Crdb na nmb wakala
5.tafuta ata uwakala mkuu wa airtel money au tigo pesa.
6. Uza ata alcohol kama iman inaruhusu
7.uza ata vimaji maji na soda.
8. Chajisha simu na bet.
9.uza makava ya simu,,,bet,,,charger,,,headphone
10.soda na vimaji.
*hivyo n vitu vya kuongezea kwenye biashara yako ili kukuza kipato.
1.yupo mfanyakazi au mwenyewe????❓
2.uza sigara na vocha.❌
3.uza pipi na biscuit❌
4. Weka Crdb na nmb wakala✔️💯
5.tafuta ata uwakala mkuu wa airtel money au tigo pesa.❌
6. Uza ata alcohol kama iman inaruhusu❌
7.uza ata vimaji maji na soda.❌
8. Chajisha simu na bet.❌
9.uza makava ya simu,,,bet,,,charger,,,headphone❌
10.soda na vimaji.❌
 
Great thinker
1.yupo mfanyakazi au mwenyewe????
2.uza sigara na vocha.
3.uza pipi na biscuit
4. Weka Crdb na nmb wakala
5.tafuta ata uwakala mkuu wa airtel money au tigo pesa.
6. Uza ata alcohol kama iman inaruhusu
7.uza ata vimaji maji na soda.
8. Chajisha simu na bet.
9.uza makava ya simu,,,bet,,,charger,,,headphone
10.soda na vimaji.
*hivyo n vitu vya kuongezea kwenye biashara yako ili kukuza kipato.
 
Kama kweli unasaka pesa kweli kweli , Hyo biashara hamna , labda kama we ni mstaafu unakula pension mdogo mdogo huku ukipoteza mda kwenye huo uwakala
 
Kama kweli unasaka pesa kweli kweli , Hyo biashara hamna , labda kama we ni mstaafu unakula pension mdogo mdogo huku ukipoteza mda kwenye huo uwakala
Kuna ukweli fulani kwa mbali japo bado sina uhakika
 
1.yupo mfanyakazi au mwenyewe????[emoji780]
2.uza sigara na vocha.[emoji777]
3.uza pipi na biscuit[emoji777]
4. Weka Crdb na nmb wakala[emoji3581][emoji817]
5.tafuta ata uwakala mkuu wa airtel money au tigo pesa.[emoji777]
6. Uza ata alcohol kama iman inaruhusu[emoji777]
7.uza ata vimaji maji na soda.[emoji777]
8. Chajisha simu na bet.[emoji777]
9.uza makava ya simu,,,bet,,,charger,,,headphone[emoji777]
10.soda na vimaji.[emoji777]
Naomba mawazo yako ndugu yangu
 
Mkuu, mm pia nimefanya lkn faida unayoipata Ni faida yangu ya mwezi nikiwa na mtaji wa 1M. Biashara yako inamaanisha yafuatayo.
1. Umeweka hela nyingi kwenye mzunguko mdogo.
2. Mfanyakazi wako hajitumi Sana.. akija mteja akikosa imeisha.

Ningekuwa mm ningefanya yafuatayo;
1. Either ningepunguza mtaji na kuwa na branch nyingine inayojiongeza
2. Ningehangaika na wafanyakazi wangu kupambana nao ili wawe wachakalikaji.. kuwasimamia vizuri na kuwapa motisha... Ukweli hii biashara nzuri na Ina faida lkn tagizo Ni Wizi.

Mwez was pili nimeibiwa mtaji wote akiwepo mfanyakazi na hivo nimepumzika kidogo lkn nitarudi hata nikiwa na laki 3
 
mkubwa wasachi hao vijana wanaoisimamia hiyo biashara yako huenda wanazungusha pesa yako kwenye till zao
Naam kuna huo umafia wa vijana wa kazi kuzungusha hela ya boss kwenye line zao, dah hapa ndio kanakujaga kale kawazo ka CHUMA ULETE
 
Hii biashara usipokuwa care matumizi ya mwezi na commission unayopta ni hasara tupu mmmh
 
Mkuu, mm pia nimefanya lkn faida unayoipata Ni faida yangu ya mwezi nikiwa na mtaji wa 1M. Biashara yako inamaanisha yafuatayo.
1. Umeweka hela nyingi kwenye mzunguko mdogo.
2. Mfanyakazi wako hajitumi Sana.. akija mteja akikosa imeisha.

Ningekuwa mm ningefanya yafuatayo;
1. Either ningepunguza mtaji na kuwa na branch nyingine inayojiongeza
2. Ningehangaika na wafanyakazi wangu kupambana nao ili wawe wachakalikaji.. kuwasimamia vizuri na kuwapa motisha... Ukweli hii biashara nzuri na Ina faida lkn tagizo Ni Wizi.

Mwez was pili nimeibiwa mtaji wote akiwepo mfanyakazi na hivo nimepumzika kidogo lkn nitarudi hata nikiwa na laki 3
Mkuu wapi hiyooo

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Hyo ni net profit tuambie gross profit unapata sh ngapi?....ila sio mbaya kwa huo mtaji wako kumbuka malipo yanatokana na mzunguko wa cash in na out katka laini zako.

Kuongeza commission.
1. Ongeza laini/machine za uwakala /uwakala mkuu.
2. Ongeza mtaji wa biashara yako angalau 10ml
3.punguza matumizi ya sio lazima.

Hii 200,k mimi napata kwenye lain yangu moja.
Naomba muongozo nataka kuanza hii biashara ya i wakala
 
Back
Top Bottom