MOREMI2006
JF-Expert Member
- Sep 10, 2021
- 551
- 548
Line ya wakala mkuu mitandao ganiKama una nia nitafute upate line ya uwakala mkuu(ya kununua)...ule maisha..ingawa inahitaji uwe na mtaji mzuri especially kwa mji kama korogwe
Naomba muongozo nataka kuanza hii biashara ya i wakala
Voda
Shs ngapVoda
Laki 3 na aslimia 20 % ya commission utakayokua unapata kwenye KilA unachoingiza KilA mwezi...maana unapewa kitoto cha laini kuu ya super agency...Shs ngap
Nipo mbagala…kutuma pesa kupitia mitandao na ile ya kutumia bankUwakala level gani? Na upo eneo gani?
Jitaidi mtaji uwe na angalau ml 5 kwa maana ukiwa na laini nne za uwakala unaziweke float kila laini ml 1…na cash mkononi ubaki nayo 1ml…kama utakuwa na machine za kibank jitaidi uongeze mtajiNipo mbagala…kutuma pesa kupitia mitandao na ile ya kutumia bank
Fafanua vizuri tujue ...Kama una nia nitafute upate line ya uwakala mkuu(ya kununua)...ule maisha..ingawa inahitaji uwe na mtaji mzuri especially kwa mji kama korogwe