Commission ya biashara ya wakala

Commission ya biashara ya wakala

Nipo mbagala…kutuma pesa kupitia mitandao na ile ya kutumia bank
Jitaidi mtaji uwe na angalau ml 5 kwa maana ukiwa na laini nne za uwakala unaziweke float kila laini ml 1…na cash mkononi ubaki nayo 1ml…kama utakuwa na machine za kibank jitaidi uongeze mtaji
 
Back
Top Bottom