Commissioner General wa Uhamiaji Dr. Makakala hapigi salute vizuri

Rwebo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2015
Posts
1,418
Reaction score
1,820
Nimekuwa nikimfatilia commander huyo kuhusu upigaji wake wa salute si wa kiwango ukilinganisha na makamanda wakuu wengine. Nimeshindwa kuweka picha yake ya leo alivokuwa Ikulu wakati akishuhudia utiwaji sahihi kati ya serikali yetu na Brick company.
 
Huyu mama namu admire kweli kweli. Kajitahidi kuibadilisha uhamiaji. Siku hizi passport ni kama huduma nyingine ya kitaifa. Miaka michache passport ilikuwa privilege ya wakubwa na wenye connection huko juu.

Na mapungufu yoooote ya Idara ya Uhamiaji, kazi ya huyu mamam inaonekana.

Tunakuombea sana Dr. Mungu azidi kukupa weledi kuwatumikia wananchi wa taifa hili!
 
Sio shida sana. Uhamiaji sio askari persee as long as anafanya kazi vizuri ts OKey
 
Ni mwanamke alafu si unajua tena mwanamke ni kiumbe dhaifu
 
Nimekuwa nikimfatilia commander huyo kuhusu upigaji wake wa salute si wa kiwango ukilinganisha na makamanda wakuu wengine. Nimeshindwa kuweka picha yake ya leo alivokuwa Ikulu wakati akishuhudia utiwaji sahihi kati ya serikali yetu na Brick company.
ulitaka mtu mwenye PhD apige saluti nzuri kwa sababu gani.
Wapo wenye taaluma zao ambao ni wajeshi 100%
 
Nimekuwa nikimfatilia commander huyo kuhusu upigaji wake wa salute si wa kiwango ukilinganisha na makamanda wakuu wengine. Nimeshindwa kuweka picha yake ya leo alivokuwa Ikulu wakati akishuhudia utiwaji sahihi kati ya serikali yetu na Brick company.

Kwani hao wanaopiga vizuri kama wale wliotmbuliwa jana wanafaida gani kwa watanzania?
 
Nimekuwa nikimfatilia commander huyo kuhusu upigaji wake wa salute si wa kiwango ukilinganisha na makamanda wakuu wengine. Nimeshindwa kuweka picha yake ya leo alivokuwa Ikulu wakati akishuhudia utiwaji sahihi kati ya serikali yetu na Brick company.
Acha majungu mbona wanaopigiwa wanamsifia na hawalalamiki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuwa nikimfatilia commander huyo kuhusu upigaji wake wa salute si wa kiwango ukilinganisha na makamanda wakuu wengine. Nimeshindwa kuweka picha yake ya leo alivokuwa Ikulu wakati akishuhudia utiwaji sahihi kati ya serikali yetu na Brick company.
Hata wewe uandishi wako wa neno Barrick sio mzuri
 
Sio shida sana. Uhamiaji sio askari persee as long as anafanya kazi vizuri ts OKey
Kwani miaka hii hawaendi depo?

Wa zamani walikuwa wanapitia mafunzo yote ya uaskari CCP ikiwemo hadi utumiaji wa silaha...
 
'utiwaji sahihi kati ya serikali yetu na Brick company'.

Hii Brick Co. Inatengeneza matofali ya aina gani mkuu?

dodge
Hizi simu jaja ndugu yangu nimeandika Barrick company yenyewe kwa akili zake inageuza na kuandika Brick
 
Nimekuwa nikimfatilia commander huyo kuhusu upigaji wake wa salute si wa kiwango ukilinganisha na makamanda wakuu wengine. Nimeshindwa kuweka picha yake ya leo alivokuwa Ikulu wakati akishuhudia utiwaji sahihi kati ya serikali yetu na Brick company.
Uhamiaji ni jeshi usu, suala la salute halina tija sana so long as anawajibika kwenye majukumu anayopewa.
Wewe kumfuatilia huyo mama mida wote unataka nini?
Fuatilia utendaji wake na siyo vitu vidogovidogo kama upigaji salute.
Yeye amekwenda trainning nyingi sana hadi kufikia rank aliyoifikia, wewe uko chuo gani cha kinachotoa mafunzo ya salute?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom