sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaboresha Nini ? Masharti ya kupata passport Ni Yale Yale ya kuanzia miaka ya sitini ya akina Nyerere .Kuleta Sijui barua za mwaliko unakoenda.nkHuyu mama namu admire kweli kweli. Kajitahidi kuibadilisha uhamiaji. Siku hizi passport ni kama huduma nyingine ya kitaifa. Miaka michache passport ilikuwa privilege ya wakubwa na wenye connection huko juu.
Na mapungufu yoooote ya Idara ya Uhamiaji, kazi ya huyu mamam inaonekana.
Tunakuombea sana Dr. Mungu azidi kukupa weledi kuwatumikia wananchi wa taifa hili!
[emoji16][emoji16][emoji16]We Jamaa wewe, acha kumchongea mama yangu mdogo. Kuna siku utasema akila hatafuni vizuri. Unaonekana unanongwa sawa wewe!
Kaboresha Nini ? Masharti ya kupata passport Ni Yale Yale ya kuanzia miaka ya sitini ya akina Nyerere .Kuleta Sijui barua za mwaliko unakoenda.nk
Mtu unaenda kutafuta fursa unaambiwa leta barua ya mwaliko.Fursa huwa Ina barua ya mwaliko? Imekuwa kitchen party au Harusi?
Wao nii proffessionals wakiona kanuni Fulani haziko sawa wanatakiwa ku initiate changes na kuziwakilisha serikalini kupitia mwanasheria mkuu wa serikali au wazibadilishe .Hawapo pale kufanya kazi Kama robots.Ndio maana ya kuweka wasomi.Vinhinevyo wangeachsa hata darasa la Saba wafanye kazi uhamiaji Kama issue Ni kutanya kazi Kama robot tuMkuu nyinyi si ndo watunga sera wa CCM? ingebidi huu ujumbe uufikishe kwenye vikao vya Chama. Akina Dr. Makakala ni watumishi tuu. mnaweza kuwaajiri au kuwafukuza kadri mpendavyo. Na wao wanafuata maelekezo yenu.
...🙄🙄..
Tatizo yeye au wewe uliemfundisha hiyo kwata ya saluti?Nimekuwa nikimfatilia commander huyo kuhusu upigaji wake wa salute si wa kiwango ukilinganisha na makamanda wakuu wengine. Nimeshindwa kuweka picha yake ya leo alivokuwa Ikulu wakati akishuhudia utiwaji sahihi kati ya serikali yetu na Brick company.
Ala! Kwa hiyo mamdogo hatafuni vizuri? Usitoe siri nyingine ya mamdogo!We Jamaa wewe, acha kumchongea mama yangu mdogo. Kuna siku utasema akila hatafuni vizuri. Unaonekana unanongwa sawa wewe!
Kwani passport ni kitambulisho au Paso ya kusafiria? Halafu yeye sio mtunga sheria. Waambie wabunge wako wapeleke mapendekezo ya kisheria ili passport iwe takwa na haki ya kisheria kila RAIA apewe akizaliwa tu iwe anasafiri au amekaa tu nchini. Niko industry ya utalii watoto kwa maelfu wanaingia na wazazi wao kutalii wengine wakiwa wachanga ila sana passportKaboresha Nini ? Masharti ya kupata passport Ni Yale Yale ya kuanzia miaka ya sitini ya akina Nyerere .Kuleta Sijui barua za mwaliko unakoenda.nk
Mtu unaenda kutafuta fursa unaambiwa leta barua ya mwaliko.Fursa huwa Ina barua ya mwaliko? Imekuwa kitchen party au Harusi?
Lugola bwana! Bado unatafuta salute ukiwa nje ya ulingo?Nimekuwa nikimfatilia commander huyo kuhusu upigaji wake wa salute si wa kiwango ukilinganisha na makamanda wakuu wengine. Nimeshindwa kuweka picha yake ya leo alivokuwa Ikulu wakati akishuhudia utiwaji sahihi kati ya serikali yetu na Brick company.