Commonwealth na Chevening Scholarships: Naomba USHAURI, Nilikosa lastly

MoroGent

Member
Joined
Jan 10, 2018
Posts
84
Reaction score
343
Habari wakuu,

Nimekuwa nqjitahidi kuomba scholarship za nje, master's degree, lakin nakosa toka mwaka juzi. Niliomba Pan African, Korea, na UK.

This time nimeomba Pan African, na kwa wiki hii nipo nipo kwa process nimeshaanza Commonwealth ilitangazwa sept 5 na chevening nayo sept 12.

Mwaka jana nimekosa zote, najitahidi kuomba tena. Offcourse zina challenge kidogo kama essay nyingi, unconditional offer, reference na attachm3nt baadhi plus IELETS.

Kwa wajuzi na wazoefu wa hizi mambo please. Naomba ushauri ili niweze kufanikiwa mwaka huu.

Dodosha nondo hapo Mkuu.
 
Hautakiwi kukata tamaa. Hizo scholarships ni very competitive zote. Ideally, mara nyingi zaidi unavyozidi ku apply, unaongeza chances zako za kufanikiwa. Ni wachache sana wanazipata on the first attempt. Mimi nilipata hiyo ya Commonwealth, ila nilipata on my third attempt, na my breakthrough ilikua kumpa a previous year winner a review my essays, alinisaidia sana.
Fanya yafuatayo:
1.Ingia Youtube, search 'how to write competitive cheveneng scholarship essays" utapata channels na videos kibao ambazo zimeongelea kinaga ubaga namna ya kufanya essays zako kuwa competitive. Do the same for Commomwealth as well.
2.Hakikisha essays zako zinakua reviewed na mtu ambae aliwahi kushinda mojawapo ya hizo scholarship, hii ni muhimu sana sana, I cant emphasize this enough!! Aliewahi shinda anakua na uzoefu na anajua what it takes to write a winning essay. Unaweza ukawa unasubmit essays kila siku kumbe ziko chini ya kiwango. Ukishaandika essays zako, tafuta mtu aliewahi shinda mtumie azicheki atakusaidia kukwambia wapi pa ku improve. I can assist you with this one free of charge if you wish, as nimewahi pata Commonwealth scholarship.
3. Referees' recommendation letters-Hizi scholarships zote wanahitaji recommendation letters from referees, na zinapokua strong zinakuongezea chances za kushinda pia. So, kusaidia saa zingine huwa inashauriwa wewe kuandika the recommendation letter, ikiwa ume link kwa ustadi na ulichoandika kwenye essays zako, kisha unamtumia referree, yeye anaisoma na kuongezea vichache kama ana cha kuongezea, then anaisaini, sometimes kinachoangusha ni kwamba unakuta recommendation letter toka kwa referrees wako haziko strong kihivyo au hazina link yoyote na ulichoandika kwenye essays zako.
4. Soma kitabu hiki hapa (See attachment) kimeeelezea vizuri SANA namna ya kuandika competitive essays za Cheveneng kwa essay moja moja, nini cha kuweka, how to write it with specific examples. Very useful.
You can PM me kama utakua na maswali zaidi au kuhitaji usaidizi zaidi.Asante.
MoroGent
 
Attachments

Lakini wewe umepata sababu ni genius. So ili upate inatakiwa uombe kwanza admission ya chuo cha UK ukipata chuo ndio uombe cheveneng?
Vyuo gani UK havina application fee naweza omba admission coz of scholarship requirement?
 
Mkuu, Nimekuelewa vizuri sana. I will appreciate you help on this. Nimeku-PM tayari. @Dr wansenga
 
Lakini wewe umepata sababu ni genius. So ili upate inatakiwa uombe kwanza admission ya chuo cha UK ukipata chuo ndio uombe cheveneng?
Vyuo gani UK havina application fee naweza omba admission coz of scholarship requirement?
Yes ni Genius, maana ni very competitive.[emoji3]
Kwa case ya kuomba admission ni free, isipokuwa wanakupa Conditional offer letter, ukipata confirmation ya scholarship ndo unapewa Unconditional offer, nimeomba vyuo vitatu, nimepewa conditional mbili bado moja tu. Na wanakupa option ya kusubmit mpk june mwakan koz baadhi ya vyuo application zinafunguliwa early na mid October
 
@happyxxx
 
@Dr. Wansegamila Nimeelewa why niliangukia pua, na ningesubmit kabla ya kusoma hii article ya Dr Chris nilikuwa naangukia pua mapema zaidi, [emoji3]
Asante tena Dr, asante kwa hii useful info
 
Nadhani mkuu MoroGent ameshakujibu kuhusu hilo la admission. Mara nyingi ni vizuri kuanza kuomba admission as early as possible, kwa Cheveneng huwa they require at least hadi Dec-Jan hivi uwe umepata admission tayari, ili utakappitwa interviews uwe tayari na admissions, unakua more convincing kwenye interview.
Kuna vyuo UK application process yao inataka ulipe pesa, ila kuna ambavyo pia ni free (vingi tu), hii nakushauri uangalie mwenyewe, itakua poa zaidi. Kwa mfano mdogo vyuo like University of Manchester, LSHTM, Lancaster University of Lancaster hivi vyote havihitaji pesa ku apply. Kitu kingine pia kuna suala la English Test, prioritize vyuo ambavyo havihitaji hiyo makitu, it will make your life easier (kwa ushauri wangu).
Hizi scholarship siri yake bwana usiwe mvivu kusoma na ku research for information.... Vitu kama kozi gani na za vyuo gani zitakufaa sana kwa background yako, contents za kozi unazotaka kuomba ni zipi, etc. Uzuri wenzetu UK hizi information ZOTE zipo kwa internet, ni wewe tu na muda wako na bundle lako kuzitafuta.
Mwisho, anyone has a chance ya kupata hizi makitu, ila inabidi u-invest sana SANA muda wako kutafuta information, kuandika essays zilizoshiba, etc. Sio kitu cha kukifanya haraka haraka tu halafu utegemee matokeo mazuri.
TAKE YOUR TIME, DO RESEARCH, WRITE THOSE ESSAYS, LOOK AT THEM DAILY, IMPROVE THEM DAILY, SEND THOSE ESSAYS TO AN EXPERIENCED MENTOR TO REVIEW THEM.
 
Good. Now zifanyie kazi kwa umakini!
 
Thank you
 
Thank you
Karibu.
Mimi mentor wangu alieni guide aliniambia ile wiki ya mwisho ya kuelekea deadline ya application yeye alichukua likizo ili atumie muda mwingi na wa kutosha kuzi finalize essays zake, na kuzifanyia kazi inputs za reviewer wake, you can imagine!!
 
Safi sana
Kumbe bado bongo wapo watu wanaotafuta mafanikio kwa kujituma na bidii
Maana humu tukiwawekea link za sholaship, wengi wanadhani ni za mteremko na zinapatikana kimchongo, anaanza kukufata PM, tungekuwa matapeli, tungewaliza wengi
Keep up the good work
 
Kuna dokta mmoja niliona anazungumzia kuhusu hii scholarship nikasema nim DM ABC za hiyo scholarship mpaka na leo hakuwahi kunijibu, nikajiuliza hiii ni ABC tuu nahitaji je? ningeomba msaada wa fedha ingekuwaje

Tuacheni uchoyo wa maarifa, Dunia hii inamambo mengi hata wakazi wake hawawezi yamaliza..
 
Yes ni Genius, maana ni very competitive.[emoji3]
Kwa case ya kuomba admission ni free, isipokuwa wanakupa Conditional offer letter, ukipata confirmation ya scholarship ndo unapewa Unconditional offer, nimeomba vyuo vitatu, nimepewa conditional mbili bado moja tu. Na wanakupa option ya kusubmit mpk june mwakan koz baadhi ya vyuo application zinafunguliwa early na mid October
Mkuu, kwamba unaweza omba hizo chevening scholarship bila kupata condition offer ya chuo?
 
Back
Top Bottom