Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,968
- 8,139
Nakuelewa, ila usilaumu sana mkuu, huwezi jua alipata changamoto gani.Kuna dokta mmoja niliona anazungumzia kuhusu hii scholarship nikasema nim DM ABC za hiyo scholarship mpaka na leo hakuwahi kunijibu, nikajiuliza hiii ni ABC tuu nahitaji je? ningeomba msaada wa fedha ingekuwaje
Tuacheni uchoyo wa maarifa, Dunia hii inamambo mengi hata wakazi wake hawawezi yamaliza..
Uzuri ni kwamba kiukweli ukitaka info specific kuhusu hizi scholarships mbili (commonwealth na cheveneng), zimejaa tele mitandaoni, a lot. Ukiingia youtube now, ukasearch kwenye video 'how to write competitive commonwealth scholarship essays), utapata videos nyingi ambazo hutaweza hata kuzimaliza, na nyingi unakuta walioziandaa ni previous winners wa hizo scholarship, so wana uzoefu wa kutosha. The same for cheveneng.
Moja ya sifa za wengi wanaopata hizi scholarship ni watu ambao wana perserverence... Yaani akitaka jambo lake, akifanya njia ya kwanza ikashindikana, atatafuta njia ya pili, na akishindwa atatafuta ya tatu, ya nne hadi afanikiwe. Mtu mmoja akikunyima maarifa, usikate tamaa ya kutafuta hayo maarifa katika hii dunia ya internet.
Cheki post yangu ya kwanza, nime attach pia kitabu jamaa kachambua namna ya kuandika cheveneng essays moja moja, very detailed, with specific examples and samples.
The Knowledge Seeker