Communication officers wa Simba na Yanga wanastahili kuchapwa viboko

Communication officers wa Simba na Yanga wanastahili kuchapwa viboko

INSIDER MAN

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2018
Posts
2,005
Reaction score
19,579
Hivi hata message za msiba mpaka wakopi na kupaste hii ni aibu sana kwa taifa na wananchi. Hizi tim janja janja zimekua nyingi kama wanaajili watu hawajui ngeli ni aibu kwao.
IMG_8198.jpg

IMG_8199.jpg
 
Hivi hata message za msiba mpaka wakopi na kupaste hii ni aibu sana kwa taifa na wananchi. Hizi tim janja janja zimekua nyingi kama wanaajili watu hawajui ngeli ni aibu kwao.View attachment 2463420
View attachment 2463421
Huyu wa simba kakopi vizuri hajasahau hata nukta.
Ila wa yanga pamoja na kukopi ila bado kasahau kuweka koma katikati ya peace na pele.[emoji1][emoji1][emoji39][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23]
 
Kama shuleni ulikua copy paste assignment huwez ona shida

Sent from my SM-G950U1 using JamiiForums mobile app
Ulitaka watumie maneno gani mapya labda? Maneno ni hayo hayo yanayolenga ujumbe ule ule..complications za nini..nyie ndio wale mnaona kutumia maneno magumu ndio usomi..pathetic!
 
Back
Top Bottom