Community Airline Kuanza kazi tena

Buswelu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2007
Posts
1,998
Reaction score
356
Kuna tetesi na vyombo ya habari kuwa hii ndege ya wenye kima cha chini inaanza kazi siku za karibuni..mwenye uhakika?
 
kwahiyo community airline wameshalipa madeni yote wanayodaiwa kule comoro ? , na madeni mengine ambayo imeacha ATCL walipe nayo wameshalipa ? wataanzaje tena kazi wakati wanadaiwa sana , wamechangia kuuwa shirika la ATCL au kwa sababu wachina wamelichukuwa kwahiyo madeni yote yatalipiwa na wachina ???

hawa vipi
 
Watakuwa wamesha jipanga si bure....tuache kusafiri na pikipiki arusha mpaka dar..
 
Mimi sina imani na huku 'kujipanga kwao'..Wamejipanga kwa ufadhili wa nani?

Halafu haya mambo ya kuwa na marubani wanarusha ndege wakiwa 'chicha baya' (Tena waturuki = waislamu) nayo yataendelea kuwepo?
 
Mhh Jamani saa wewe na hiyo waturuki = waislamu inaingilianaje na huduma yao...ina maana hutaki watoe huduma ya ndege?Uislam unaingilianaje na professional yake....
Uku ni kufilisika kimawazo jamani...sasa huwezi sema kuwa wanarusha ndege wakiwa wamelewa mpaka uweke uslam..nenda kwenye dini kama vipi.
 
Uwe unajaribu kuona hoja kuliko kukosoa mkuu. Hebu jaribu kurudia kusoma hiyo posting maana ujumbe uko wazi. Kufilisika kimawazo ni pamoja na kukosa uelewa hata ktk mambo marahisi kama haya..

Ciao
 
Mimi sina imani na huku 'kujipanga kwao'..Wamejipanga kwa ufadhili wa nani?

Halafu haya mambo ya kuwa na marubani wanarusha ndege wakiwa 'chicha baya' (Tena waturuki = waislamu) nayo yataendelea kuwepo?
Hapa iko kazi macho kumchuzi au makengeza?
 
kumbe waturuki = waislamu. Much know.

Kila la kheri CA
 
Watakuwa wamesha jipanga si bure....tuache kusafiri na pikipiki arusha mpaka dar..

Mkuu Buswelu unaugomvi na Paschal Mayalla, maana huyu alisafiri toka Arusha - Dar na kwenda Dodoma kwa pikipiki!!
 
Mkuu Buswelu unaugomvi na Paschal Mayalla, maana huyu alisafiri toka Arusha - Dar na kwenda Dodoma kwa pikipiki!!

Du! hata kusafiri tu kwa pikipiki kutoka Iringa-Dodoma, au Arusha-Moshi au Dar-Moro ni kibarua kikubwa sembuse Dar-Dodoma?
Mungu atusaidie WaTanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…