dar Si Lamu
Napenda Kuwaasisitiza Hawa Jamaa Inabidi Wajitahidi Kufwata Principle Za Airline Na Wasiingie Tyu Ovyo.....
Hivi Majuzi Nina Dogo Alikuwa Anafanya Kazi Ya Angani Wameajiriwa 34..wamepunguza 10 Juzi Na Kibaya Zaidi Wamepunguza Hadi Na Staff Wengine Wazoefu Kwa Ajili Ya Chuki Binafsi...kuna Mkuu Mmoja Hemed This Man Very Exp Lakini Majuzi Wameletwa Madogo Kwa Kujuana Na Kuwafukuza Wazoefu....kisa Kuna Hawa Wazungu Nasikia Wakienda Wenye Ndege Wanataka Wakapelekewe Wakasaini....wameingia Huyu Mkuu Akasema Procedure Wao Waje Ofisini Kusign Jamaa Akaulizwa Na Rubani Mimi Na Wewe Nani Boss..akampigia Jamaa Mmoja Kajilimbikizia Vyeo Yeye Ni Direct Of Operation Na Dir Wa Techn...mulokozi Kisa Ni Eng,,,,jamaa Akampiga Chuma ...so Kwa Kuwa Mnatusaidia Kwa Msaada Tunaomba Muwe Makini Hasa Na Ajira Zenu..msifanye Airline Kama Pale Kwa Bakheresa Mtadondosha Ndege...sheria Zifwate Wao Ninani Wapelekewe Wasifwate Sheria Zetu...wakuu Mlio Karibu Tunallipenda Hili Shirika Wana Save..tuwasave Nao Jamani