Community Food insurance (CFI)

Cendy

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
1,250
Reaction score
2,309
Wakuu za habari zenu kwanza, twende kwenye topic
Nimekua nikifikilia sana kuhusu hili swala na Nina mpango wa kulifanyia research hapo baadae japokuwa kwa akili ya kawaida mtu anaweza akaona ni utani hivi ila issue iko hivi

Nikiamua kuanzisha bima ya chakula kwa jamii hasa nikilenga makundi yanayoishi mazingira ya kazi mfano machinga, wafanyakazi wa maduka mjini nk
Pia niweke packages ya watumishi wa serikali or formal sector
Main objective ni kuhakikisha upatikanaji wa chakula unakuwepo kwa makundi yote

Kimahesabu
Kwa siku iwe 3000
Kwa maana hiyo mtu utakula kwa kikomo cha 3000 or kulingana na packages yako
Na pesa italipwa kwa mwezi or makubaliano ila si chini ya hapo

Kwasababu lengo LA any insurance ni Ku pool resources, itakuwa hivi
Ukipitisha lunch haimanishi utakula usiku
Ukivukisha siku haimanishi utakula siku nyingine
Pia ili tuweze Ku pool resources vizuri lazima waingie at least watu kumi na kuendelea kwa kila kundi

Nb: ni mawazo yangu tu mchango wa mawazo na ukosoaji chanya unahitajika

*nchi yangu ya viwanda*[emoji510] [emoji510] [emoji510] [emoji510] [emoji510] [emoji510]

the great
 
Mkuu sasa hiyo si lazima mtu ale? Ujue Bima huwekwa kwenye vitu visivyo tarajiwa au vinavyo tokea nadra sana.

Ugonjwa hutokea kwa nadra sana. Unaweza kata Bima ya Magonjwa na mwaka mzima usiugue na hapo ndo Bima hupata faida au Pesa yako kama hujaugua basi atatumia mwingine alie ugua sana.

The same kwa ajali an majanga mengine.

Sasa chakula sio kitu cha kutokea kwa Nadra ni lazima watu wale kila siku sasa hapo wewe faida utapata vipi?

Make faida ya Makampuni ya bima ni pale majanga yanapo kuwa hamna. au yametokea kidogo mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Faida ntauza Mimi chakula hiyo ya kwanza

the great
 
Bima ina cover matukio ambayo hayategemewi kutokea. Sasa g
Iyo ya chakula ni kitu ambacho lazima mtu ale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…