mwache huyo mpumbav...itakuwa amewasili juzi tu kule brazil sasa anafikiri yupo mbinguni...yule ni jogoo wa mashambani kafika mjini sasa ameanza kuwika wika kama mjinga...kuna wengi kama mie hapa nimetembea nchi nyingi za ngambo na hata nimesomea kule ila ikija kwa nyumbani, nasema Home is Best hata tuwe tupo nyuma kiasi gani...ila huyu mleta mada nina uhakika kapewa kazi ya kuosha vyoo na kupanguza wazee mavi kule Brazil sasa anaona amefika mbinguniππππ'Maneno bila picha hainogi' kauli mbiu yao
Huyu mwanzisha thread anataka kutukosesha uhondo wa utani wa jadi.. hayo aliyosema tunayajua.. na hata kama tungekuwa first world, still ligi ingeendelea..hakuna asiyejua kuwa miji ya kiafrika zipo nyuma sana ukilinganisha na miji ya nje....kila mtu anaelewa hilo...ila Brazil haipo East africa...kwa hiyo ficha upumbavu wako kaka...wewe sio mwananchi wa brazil...kwa hiyo wacha kusherehekea bidii na jasho ya Brazilians...
mpuuze tu...itakua ndio amewasili nchi ya ng'ambo kwa mara ya kwanza...anasahau mwacha mila ni mtumwa...damu inamchemka sana hajui ndege watu wamepanda mpaka wamechoka...tujenge nchi zetu... tusijaribu kujivunia jasho ya wazungu...Huyu mwanzisha thread anataka kutukosesha uhondo wa utani wa jadi.. hayo aliyosema tunayajua.. na hata kama tungekuwa first world, still ligi ingeendelea..
Nop mim nimevisit all continent except Antarctica # pia hakuna mbongo huku south America aneyelia njaa asilimia 90 wote tunamaisha poa # pia wa brazil hawadharau watu weusi wanatupenda tuishionao poa sana labda ungesema chile kidogompuuze tu...itakua ndio amewasili nchi ya ng'ambo kwa mara ya kwanza...anasahau mwacha mila ni mtumwa...damu inamchemka sana hajui ndege watu wamepanda mpaka wamechoka...tujenge nchi zetu... tusijaribu kujivunia jasho ya wazungu...
mwache huyo mpumbav...itakuwa amewasili juzi tu kule brazil sasa anafikiri yupo mbinguni...yule ni jogoo wa mashambani kafika mjini sasa ameanza kuwika wika kama mjinga...kuna wengi kama mie hapa nimetembea nchi nyingi za ngambo na hata nimesomea kule ila ikija kwa nyumbani, nasema Home is Best hata tuwe tupo nyuma kiasi gani...ila huyu mleta mada nina uhakika kapewa kazi ya kuosha vyoo na kupanguza wazee mavi kule Brazil sasa anaona amefika mbinguniππππ
Kabla hujamaliza hii battle jifunze kwanza kuandika. Huwezi kumaliza battle ya nchi ambazo hata hujui zinaandikwaje, hayo mengine utayajuaje.Nchi zote hapo ni maskini no matter what GDP differrence is, izo nchi na miji kama Nairobi na mwanza hapa brazil ni miji midogo sana inafanana na miji kama campinas , Belo horizontal ambayo hapa brazil haijulikani kabisa. So achen battle za kijinga
Kawasili wapi! Huyo kasimuliwa na mtoto wa ba'mdogo, ye kabeba kama lilivyo!!.mpuuze tu...itakua ndio amewasili nchi ya ng'ambo kwa mara ya kwanza...anasahau mwacha mila ni mtumwa...damu inamchemka sana hajui ndege watu wamepanda mpaka wamechoka...tujenge nchi zetu... tusijaribu kujivunia jasho ya wazungu...
Tushajuwa kama uko brasil mkuu.Nchi zote hapo ni maskini no matter what GDP differrence is, izo nchi na miji kama Nairobi na mwanza hapa brazil ni miji midogo sana inafanana na miji kama campinas , Belo horizontal ambayo hapa brazil haijulikani kabisa. So achen battle za kijinga
Hata akija mnaijeria hapa kitutolea povu lake tunampa za uso.ikija kwa mambo kama haya, wabongo na wakenya tunaungana tumalize ukoloni wa kifikra...Home Is Best...East Africa is our home...mambo ya sijui Brazil anzisha battle huko huko Brazil unakoishi utuache...
Asante ubarikiwe sana mtumishi.hakuna asiyejua kuwa miji za kiafrika zipo nyuma sana ukilinganisha na miji za nje....kila mtu anaelewa hilo vizuri tu...ila nikukumbushe Brazil haipo East Africa...kwa hiyo ficha upumbavu wako kaka...wewe sio mwananchi wa Brazil...kwa hiyo wacha kusherehekea bidii na jasho ya Brazilians...ndio tuna GDP ndogo na miji isiojulikana ila sisi ni waafrika halisi...sio watumwa wa wazungu...nikukumbushe pia kuwa watu huko brazil wanawadharau sana waafrika nawe hapo unadhani umefika sijui mbinguni kumbe wanakuona maviπππ Home Is Best ndugu wacha upumbavu wa kitumwa