Como estas leo namaliza battle kat ya united tanzania na kenya. Kuhusu economics and infrastructure development

cordoba

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
686
Reaction score
962
Nchi zote hapo ni maskini no matter what GDP differrence is, izo nchi na miji kama Nairobi na mwanza hapa brazil ni miji midogo sana inafanana na miji kama campinas , Belo horizontal ambayo hapa brazil haijulikani kabisa. So achen battle za kijinga
 
hakuna asiyejua kuwa miji za kiafrika zipo nyuma sana ukilinganisha na miji za nje....kila mtu anaelewa hilo vizuri tu...ila nikukumbushe Brazil haipo East Africa...kwa hiyo ficha upumbavu wako kaka...wewe sio mwananchi wa Brazil...kwa hiyo wacha kusherehekea bidii na jasho ya Brazilians...ndio tuna GDP ndogo na miji isiojulikana ila sisi ni waafrika halisi...sio watumwa wa wazungu...nikukumbushe pia kuwa watu huko brazil wanawadharau sana waafrika nawe hapo unadhani umefika sijui mbinguni kumbe wanakuona mavi😀😀😀 Home Is Best ndugu wacha upumbavu wa kitumwa
 
'Maneno bila picha hainogi' kauli mbiu yao
mwache huyo mpumbav...itakuwa amewasili juzi tu kule brazil sasa anafikiri yupo mbinguni...yule ni jogoo wa mashambani kafika mjini sasa ameanza kuwika wika kama mjinga...kuna wengi kama mie hapa nimetembea nchi nyingi za ngambo na hata nimesomea kule ila ikija kwa nyumbani, nasema Home is Best hata tuwe tupo nyuma kiasi gani...ila huyu mleta mada nina uhakika kapewa kazi ya kuosha vyoo na kupanguza wazee mavi kule Brazil sasa anaona amefika mbinguni😀😀😀😀
 
hakuna asiyejua kuwa miji ya kiafrika zipo nyuma sana ukilinganisha na miji ya nje....kila mtu anaelewa hilo...ila Brazil haipo East africa...kwa hiyo ficha upumbavu wako kaka...wewe sio mwananchi wa brazil...kwa hiyo wacha kusherehekea bidii na jasho ya Brazilians...
Huyu mwanzisha thread anataka kutukosesha uhondo wa utani wa jadi.. hayo aliyosema tunayajua.. na hata kama tungekuwa first world, still ligi ingeendelea..
 
mpuuze tu...itakua ndio amewasili nchi ya ng'ambo kwa mara ya kwanza...anasahau mwacha mila ni mtumwa...damu inamchemka sana hajui ndege watu wamepanda mpaka wamechoka...tujenge nchi zetu... tusijaribu kujivunia jasho ya wazungu...
 
Nop mim nimevisit all continent except Antarctica # pia hakuna mbongo huku south America aneyelia njaa asilimia 90 wote tunamaisha poa # pia wa brazil hawadharau watu weusi wanatupenda tuishionao poa sana labda ungesema chile kidogo
 
mwache huyo mpumbav...itakuwa amewasili juzi tu kule brazil sasa anafikiri yupo mbinguni...yule ni jogoo wa mashambani kafika mjini sasa ameanza kuwika wika kama mjinga...kuna wengi kama mie hapa nimetembea nchi nyingi za ngambo na hata nimesomea kule ila ikija kwa nyumbani, nasema Home is Best hata tuwe tupo nyuma kiasi gani...ila huyu mleta mada nina uhakika kapewa kazi ya kuosha vyoo na kupanguza wazee mavi kule Brazil sasa anaona amefika mbinguni😀😀😀😀

Mkuu unaweza kufanya mtalii wa Brazil apagawe. Mwache.
 
Nchi zote hapo ni maskini no matter what GDP differrence is, izo nchi na miji kama Nairobi na mwanza hapa brazil ni miji midogo sana inafanana na miji kama campinas , Belo horizontal ambayo hapa brazil haijulikani kabisa. So achen battle za kijinga
Kabla hujamaliza hii battle jifunze kwanza kuandika. Huwezi kumaliza battle ya nchi ambazo hata hujui zinaandikwaje, hayo mengine utayajuaje.
 
mpuuze tu...itakua ndio amewasili nchi ya ng'ambo kwa mara ya kwanza...anasahau mwacha mila ni mtumwa...damu inamchemka sana hajui ndege watu wamepanda mpaka wamechoka...tujenge nchi zetu... tusijaribu kujivunia jasho ya wazungu...
Kawasili wapi! Huyo kasimuliwa na mtoto wa ba'mdogo, ye kabeba kama lilivyo!!.
 
Nchi zote hapo ni maskini no matter what GDP differrence is, izo nchi na miji kama Nairobi na mwanza hapa brazil ni miji midogo sana inafanana na miji kama campinas , Belo horizontal ambayo hapa brazil haijulikani kabisa. So achen battle za kijinga
Tushajuwa kama uko brasil mkuu.
 
ma battle yetu EA yanawafanya viongozi wakaze boot. Jaribu kuchukulia Kibera iwe kama upper hill mambo si poa!!? Utani wetu Tanzania na Kenya ni wa jadi. Ni kama simba na yanga. Hatuna ugomvi ndugu tukikutana tunagonga cheers.
 
Tukutane Sambadrome hapo Rio wakati wa carnival, nikuonyeshe mabanda ya favelas (slums) ndio utajua hauko paradise. Tembea Brazil ukijua huwezi kulinganisha ukanda huu wetu na huko. Wao pia wana matatizo yao kibao hata kutuzidi!

Favelas in Rio, Sao Paulo,Brasilia
favelas-working-title-01-757x472.jpg

Chiodelli%20The%20Challenge%20of%20the%20Favelas%20Planum%20July%202011%201_700x_d534013cc196066fa1ffe6cfe7574c24.jpg

1073.jpg
 
ikija kwa mambo kama haya, wabongo na wakenya tunaungana tumalize ukoloni wa kifikra...Home Is Best...East Africa is our home...mambo ya sijui Brazil anzisha battle huko huko Brazil unakoishi utuache...
 
Hata akija mnaijeria hapa kitutolea povu lake tunampa za uso.
 
hakuna asiyejua kuwa miji za kiafrika zipo nyuma sana ukilinganisha na miji za nje....kila mtu anaelewa hilo vizuri tu...ila nikukumbushe Brazil haipo East Africa...kwa hiyo ficha upumbavu wako kaka...wewe sio mwananchi wa Brazil...kwa hiyo wacha kusherehekea bidii na jasho ya Brazilians...ndio tuna GDP ndogo na miji isiojulikana ila sisi ni waafrika halisi...sio watumwa wa wazungu...nikukumbushe pia kuwa watu huko brazil wanawadharau sana waafrika nawe hapo unadhani umefika sijui mbinguni kumbe wanakuona mavi😀😀😀 Home Is Best ndugu wacha upumbavu wa kitumwa
Asante ubarikiwe sana mtumishi.
 
Back
Top Bottom