Comoro inafikikaje kutokea Tanzania?

Comoro inafikikaje kutokea Tanzania?

Kama hujapata Tu njia. Nakusogezea hii hapa kutoka Precision Air. Dar To Comoro.
 
Wazo zuri la kutembelea ubalozi wa comoro Tanzania, mm nilipata rafiki m comoro lkn alichonitahadhalisha kuhusu biashara akaniambia aidha nijipange niende nikafanye survey au nitafute connections na ubalozi wa Tanzania nchini Comoros. Pia aliniambia mazao ya chakula yanalipa sana.

Ukifka hapo unaweza pata connection ndugu ..?
 
Back
Top Bottom